Wakuu,
Inatia moyo kuona kuwa hatimaye Serikali imeafiki wazo la kuwafundisha Wanafunzi wetu kwa Njia ya Televisheni. Baadhi yetu tuliandika wazo hili kwa kirefu miaka mitano iliyopita na...
Kutokana na Utafiti uliofanyika humu ndani ya JF ya kutafuta wanasiasa maarufu na watu kadhaa kwa hiyari yao kupiga kura..Kumi bora zimepatikana na CHADEMA kuwa kinara..
Kati ya kumi bora,watatu...
Wakubwa,
Mimi ni mtanzania ninayependa maendeleo ya nchi yangu na mtazamo chanya wa mambo. Naomba nitumie post hii kutoa wito kwenu mtakaobahatika kusoma post hii kushauri ni nini hasa uongozi...
MANDATORY LISTING: Was DSE chair forced out over letter to JK?
By Samuel Kamndaya and Hassan Mghenyi
The chairperson of the Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) governing council, Mr Peter...
wADAU habari nilizozipata kutoka geita katika jimbo la busanda polisi wamemkamata mwenyekiti wa kata ya lwamgasa - CHADEMA kwa madai ambayo hayajaeleweka,baada ya mwenyekiti huyo kuandaa mkutano...
Niwakati umefika kuwa watu wakufikiri na kupima maneno ya kiabunuwazi yanayotolewa na viongozi wetu. Nikweli mwanamke ni injini ya muhimu sana ktk uchumi wetu ila ikiwa sera zakuwawezesha zitakuwa...
Mwaka 1995, CHADEMA iliungana na NCCR-MAGEUZI
Mwaka 2000,CHADEMA iliungana CUF
na mara zote hizi ilikuwa katika chaguzi kuu za taifa !
Kitu kimoja ambacho nina wasiwasi ni kwamba >:
(1)Kama...
Mbowe adai Kikwete amehalalisha rushwa
Monday, 17 May 2010 06:18
Ni kwa kutetea takrima katika uchaguzi
Pia kwa CCM kupanga kutumia bilioni 50/-
Na Tumaini Makene
KAULI ya Rais Jakaya...
Kauli ya CCM Kuhusu Kuanzishwa kwa Chama Kipya cha Upinzani – CCJ
Hivi karibuni vyombo vya habari vimekuwa vinaandika sana habari za kuanzishwa kwa Chama kipya cha upinzani kiitwacho Chama...
:eyeroll2: Kwa hili pinduzi la kwanza, aidha kuking'oa madarakani chama tawala CCM, ambacho kimehakikisha kushindwa kazi, au kufanyike mapinduzi makubwa ndani ya chama hiki ili kiweze kukidhi...
Zisikilize kwa makini ahadi hizi ambazo ni sehemu ya ilani ya sisiemu, kisha tuchambue kama wametekeleza kwa usahihi kile walichoahidi ama la. Audio hizi ni sehemu ya CD nzima ya nyimbo za kampeni...
Hivi kweli Gordon Brown kachemsha zaidi kuliko JK hadi kufikia hatua ya kufanya uchaguzi? Nadhani inabidi watanzania tujifunze kutoka kwa wenzetu badala ya kuwa na desturi ya kusubiri hadi miaka...
Wakiondoa sababu nyingine zozote vi "nzi" vinaripoti kwa uhakika mkubwa kuwa Msajili wa Vyama vya siasa nchini Bw. John Tendwa na Waziri anayeshughulikia mambo ya siasa Bunge Bw. Phillip Marmo...
Tanzania inflation rate rises to 9.4 pct in April
DAR ES SALAAM, May 17 (Reuters) - Tanzania's inflation rate rose in April for the first time since October last year as food and fuel price...
It's been quite a while since our Dear leader Jakaya Mrisho Kikwete last visited the United Kingdom.As a seasoned world traveller,and in the spirit of the Anglo-Tanzania friendship,I suspect JK...
Nimekuwa nikifikiria jinsi mambo yanavyobadilika tukifika kwenye mwaka wa uchaguzi na hasa nikafikiria je ni kweli kwamba asilimia kubwa ya watanzania wanafaidika na kampeni au ndo wanaandaliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.