Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Hivi jamani hebu tuongee ukweli yaani kutangazwa kote kule harambee ya kuchangia CCM Kilimanjaro kumepatikana millioni 200 tu? Hivi kunani huko Kilimanjaro? au ndo mwendo wa kususa maana najua...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Hivi tatizo nini kwamba karatasi za kupigia kura bado? Au mpaka wajue idadi ya wapiga kura? Zinazobaki bila kutumika inakuwaje?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna mjadala unaendelea wa kutafuta namna ya kumuenzi mzee Kawawa kwa kuliweka jina lake katika taasisi moja au zaidi ili kuakisi mchango wake katika historia ya ujenzi wa taifa letu. Hii...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wana JF nimekuwa nikufuatilia kwa makini hutuba nyingi za hivi karibuni za mhe Raisi katika ufunguzi wa miradi mbalimbali ya serikali. 1.Mradi wa maji kanda ya ziwa 2. Daraja la umoja na jana...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Rais anapoteuwa baraza la mawaziri huwa kuna considerations nyingi anafikiria, kama vile sifa za mteuliwa na pia hujaribu ku-strike a balance kwenye cabinet kwenye misingi ya ukabila, dini, maeneo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
I was excited when i heard that a bridge was going to be built. Well, It's CCM so I guess i should have known better. I mean really, some of this stuff is just common sense. Is Unity Bridge a...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Rais Kikwete. Wafadhili wameamua kupunguza fungu lao la pesa linalokuja kwenye bajeti yetu. Wameteoa masharti na vitisho ambavyo vyaonekeana wazi kuwa wanachotaka kutoka kwa Tanzania pamoja na...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Hivi huyu Rais wetu, JK, alikuwa anatumia initials JK? Hivi ni sahihi kweli kwani jina lake kamili ni Jakaya Mrisho Kikwete na inatakiwa kuwa JM Kikwete. Au labda aliona zikifanana na hayati...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
I've bee thinking about this for a while and I really had to do some soul searching before I made this decision. I was skeptical about admitting this to myself let alone to other people. I have...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Send to a friend Wednesday, 12 May 2010 05:39 0diggsdigg Ramadhan Semtawa MWENYEKITI wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Mashirika ya Umma, Zitto Kabwe amesema kamati yake imeanza mchakato wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Na Mwandishi wetu, Mwanza KATIBU wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kata ya Isamilo wilayani Nyamagana mkoani Mwanza, Bahati Stepahano (50) amefariki dunia baada ya kuvamiwa ofisini kwake na kuchomwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
"Tumeendelea kuboresha Sheria ya Gharama za Uchaguzi, lakini, lile la takrima ni gumu. Mfano katika mkoa wa Kilimanjaro huwezi kuwaita wazee ukazungumza nao bila kitochi," alisema Kikwete...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Limeibuka wimbi la mauaji ya makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika mazingira yanayoacha shaka kwamba huenda kuna mikono ya kisiasa katika vitendo hivyo. Wakati wakazi wa Jiji la Mwanza wapo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
"....................Takrima iliasisiwa na serikali ya Mkapa. Baadhi ya wenzetu wakadhani JK aliye ‘chaguo la Mungu’ hataweza kuivumilia; ataifuta. Mahakama Kuu ilipoifuta, mashabiki wake...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
ASEMA WAKATI WAKE RUSHWA HAIKUWEPO RAIS mstaafu wa awamu ya pili, mzee Ali Hassani Mwinyi, maarufu kama Mzee Ruksa ameshangaa kukithiri kwa rushwa katika utawala wa awamu ya nne ikilinganishwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hatutaki Tena Hekaya za Alinacha Mwezi wa kumi (10) Watanzania wenye umri usiopungua miaka kumi na nane (18) watapiga kura kuchaguwa Rais na wabunge kupitia vyama vyao wanavyo viamini kuwa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Mauaji ya kinyama sasa yaandama makada CCM Na Waandishi wetu, NIPASHE Limeibuka wimbi la mauaji ya makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika mazingira yanayoacha shaka kwamba huenda kuna...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Awali ya yote naomba nitumie nafasi hii kuwasalimu nyote Wanajamii Forum na Kuunga Mkono Mtazamo,itikani, Imani, na Hoja mbali mbali mnazozitoa kuhusiana na Mwelekeo wa Uchaguzi wa Tanzania...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Na Elizabeth Suleyman MCHUNGAJI wa Kanisa la Tanzania Assembles of God (Tag) Macmilan Lyimo MCHUNGAJI wa Kanisa la Tanzania Assembles of God (Tag), lililoko eneo la Mabibo jijini Dar es...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom