Wakulima wa Vijiji vya Mwitikira, Ndaleta, Katikati, Ngabolo na Olboloti Wilayani Kiteto Mkoani Manyara waliodai kuporwa maeneo yao ya mashamba wamemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia kati...
Mradi wa Maji huko Arusha unaelezea madudu yote yanayofanywa na serikali na wachina wanaowapendelea sana kuwapa tenda.
Isingekuwa mvua kubwa iliyonyesha hivi karibuni, ingekuwa kama waswahili...
Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Singida (SUWASA) ni Taasisi ya Serikali inayotoa huduma ya maji safi katika Mkoa wa Singida kwa zaidi ya miaka 20 sasa, ipo chini ya Wizara ya Maji...
Habari za mchana wana JF.
Hali ya sintofahamu imeendelea kwa siku mbili sasa katika kijiji cha Handa kilichopo katika Wilaya ya Chemba mkoa wa Dodoma karibu na mpaka na Wilaya ya Ikungi ambayo...
Natambua kuwa wengi mmeiona hii taarifa: Geita: Mkuu wa Wilaya aagiza TAKUKURU wachunguze safari za Mkurugenzi
Mamlaka ya Uteuzi inatakiwa kuwa makini na huyu DC Cornel Magembe. Ni mtu anacheza...
Hawa ni wamachinga wakifanya biashara zao barabarani bila kujali hatari inayoweza kutokea.
Ni kweli kwamba kila Mmoja wetu ana haki ya kujitafutia riziki, lakini riziki ya namna hii yaweza kuleta...
Bandari ya Ujiji imedumaa tofauti na matarajio yetu wana Kigoma Ujiji.
Kuna suala la Bandari ya Ujiji Kigoma tunaomba Serikali itusaidie Wananchi wa Kigoma Ujiji ,Bandari ya UJIJI haileta...
Tuma timu yako kwa namna inayofaa leo tarehe 01.10.2023 wakajiridhishe namna Trafic wanavyokomoa Madereva hasa wa Bajaji katika eneo hilo.
Leo nimepita Mandela Road Dar es Salaam nimeona...
E-GA ni taasisi inayoratibu serikali mtandao, ni taasisi ambayo inajenga mifumo karibu mingi sana inayotumika na serikali.
Serikali imeokoa pesa nyingi sana kutoka nje ya nchi na imetoa ajira kwa...
Kuna kilio kikubwa sana sana kwa wachombaji wadogo maeneo ya songwe na chunya.
Kilio hiki kinasababishwa na watumishi wa tume ya madini kuomba maombi ya leseni ndogo za wachimbaji wadogo ndani ya...
Kama msomaji wa JF, kuwa wa kwanza kuipata hii habari.
Ndio vyanzo vya ndani kabisa vinavyotanabaisha.
Ilikuwa akamatwe jumanne, lakini wakaona kwanza wapime upepo kuona baadhi ya matukio...
MATENGENEZO YA GARI TOYOTA HILUX VIGOR DFP 6939
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Mpanda (Eng Hussein Salum Nyemba) aliyepewa usukani na wizara ya Maji kuiongoza taasisi hiyo muhimu kwa ajili ya...
Rais naamini upo kwaajili ya kutetea maslahi ya watu wa nchi hii. Uliamua watumishi wote waliotolewa kazini kwa matatizo ya vyeti walipwe stahili zao.
Napenda kukufahamisha kuwa hadi leo hii...
Niendee moja kwa moja kwenye mada husika!
Mkoa wa Tabora hivi sasa ninapoandika uzi huu, uko kwenye taharuki kubwa ya kukosa mafuta!
Hali ni mbaya hapa mjini, petro station moja tu mji mzima...
Habari, nawasalimi kwa jina la muungano......
Nina kero yangu haswa kwa shule za advance wanaopokea kidato cha tano walimu wakuu wanachukua maamuzi ya kumkataa mtoto kumpokea ikiwa tu hajamaliza...
Ujenzi wa uboreshaji soko la Mbagala Zakhiem umekamilika na wafanyabiashara wa soko hilo walitegemea warejeshwe kwenye soko hilo kulingana na utaratibu waliopewa kabla ya ujenzi, kinachoendelea...
Kuanzia Marangu Mtoni hadi Rombo Tarakea wenye vituo vya mafuta wamegoma kuuza mafuta.
Wanaoelekea njia hiyo wahakikishe wamejaza mafuta ya kutosha.
Magari yamepaki njiani Mengi inabadi watu...
Mbunge wa Ngorongoro (CCM) Emmanuel Lekishoni Ole Shangai ameandika kwamba maisha yake yapo hatarini na kwamba imeagizwa auwawe kwa amri kutoka kwa RC wa Arusha na DC wa Ngorongoro
“Naomba...
Diwani wa CCM anakata miti mikubwa iliyopandwa muda mrefu na kutunzwa Kwa muda mrefu Kwa gharama kubwa anakata na kuuzia shule binafsi DC UBUNGO yupo ofisini, TANROAD na NEMC mpompo tu
Kwa niaba...
Manispaa ya Moshi, Mkoani Kilimanjaro imeingia kwenye Kashfa kubwa hasa baada ya mwaka 2015 pale Uongozi ulipobadilika.
Kabla ya mwaka 2015 , mkoa ulikuwa unajengeka, msafi na una maendeleo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.