Wahudumu wa Bunge Maalumu la Katiba wakiwa wamebeba masanduku ya kura za wajumbe waliopiga
kura za siri kwa Sura ya 11 hadi 19 ya Rasimu ya Katiba inayopendekezwa, mjini Dodoma jana.
Makamu...
Hakika haki ya mnyonge,haipotei bali huchelewa.
Binafsi nilipoteza mvuto kabisa kufwatilia Bunge maalumu la katiba baada ya kuona mwenyekiti wake dhalimu Samwel Sitta akitupilia mbali maoni ya...
Taarifa rasmi kuna wabunge wa Ukawa kutoka znz wanapigiwa simu za kushawishiwa kupiga kura wanahaidiwa mpaka 500 m ushahidi upo, ccm ni janga kwa taifa hili Watanzania tushikamane tuwaondoe...
Kweli majuto ni mjukuu, CCM walililia kura za wazi na leo wanajuta. Kwa upofu usio mfano walililia moto na sasa kilio cha maumivu kimewaumbua. Hakuna kitu kibaya kama kukataliwa hadharani, heri...
Naona wana ccm wanatoa hoja kuwa wameweka haki nyiiingi sana,hawajui kuwa wazanzibari wanataka kuongea na TANGANYIKA,wakae nae,wajadili jinsi walivyojiunga kuwa jamhuri ya muungano na mapungufu...
Mimi toka mwanzo nilisema ni mdau wa Tanganyika na siipendi Zanzibar na Wazenj wenyewe lakini sina budi kumpa tano kadada kamoja kadogo sana kutoka Zanzibar ambako kalikubali kukaa ndani ya bunge...
Wazanzibari wametutoa jasho. Wameshaharibu mianya ya kupata akidi. Punde,timu ya kimkakati tumetua Dodoma kutafuta maridhiano. Maridhiano ya kiakidi. Kuongea na wanahapana ili wajiunge na...
The game is over! -by ISMAIL JUSSA LADHU
Kwa mujibu wa Samuel Sitta alivyotangaza jana, jumla ya Wabunge wote wa Bunge la Katiba = 629
Tanganyika = 419
Zanzibar = 210
2/3 ya 210 = 140
1/3 ya 210...
Rasimu mpya imependekeza mambo kumi na nne tu kuwa ya muungano. Swali ni je, kwa nini wabunge wa Zanzibar wanahusishwa kupigia kura ibara zote hata zisizo za muungano? jambo hili ni sawa kweli? na...
Ni wale mashujaa waliopiga kura hapana kwenye rasimu ya katiba ya Sitta.
Kutokana na vitisho hivyo wanavyopata kutoka kwa wenzao na watu wengine, wameamua kurudi kwao Zanzibar.
my note:aul...
Jamani hivi mlishawahi kusikia kua mtu amepiga kura ya Hapana halafu akabembelezwa na kubadilisha kura yake ikawa ya Ndio na Tena halali?. Hii ni kali. Amakweli hii Katiba lazima ipite wanavyotaka...
angalia TBC sasa hivi uone jinsi Evodia Mmanda anavyoweweseka akisema ameshtushwa na walipoiga KURA za hapana, eti wamekataa kila kitu
naona haki ya kuishi inapigiwa sana upatu eti nayo...
Mjumbe wa Bunge la Katiba Bi Salma Saidi
Salma na kundi lako, tunakupongezeni kwa ushujaa wenu mkubwa. Kuipigania maslahi ya nchi si lazima uchukuwe mtutu wa bunduki. Hivyo mnavyofanya...
Hivo ndo yashaliwa tena, du kweli wadanganyika wataendelea kudanganyika tuuuu, kodi zetu ndo zishateketea tena,??? Wanangojea tuzichange zingine du kweli zis is only hapeningi in Tanzania
BARAZA LA WAZEE WA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MENDELEO (CHADEMA)
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MAADHIMISHO YA
SIKU YA WAZEE DUNIANI
Ndugu waandishi wa habari
Tunapenda kutumia fursa hii kuzungumza nanyi...
Inasemekana kuwa leo usiku kucha ccm ilihaha kwa mbinu mbalimbali ili kubadili msimamo wa wajumbe walopiga kura ya hapana...mchuano ni mkali kwani wajumbe waulizwa wanakumbuka yaliyo mkuta...
Ukawa wameishiwa sera sasa wanarukia ajender yeyote inayojitokeza mbele zao kwa ufupi hawana dira. Hivi mlitegemea Ukawa waikubali Rasimu ya tatu ya Katiba huku waliikimbia, je hata kama itakuwa...
Amani kwa wote,nachukua nafasi hii kuwapongeza wajumbe wote wa bmk waliopiga kura ya hapana.kwangu mimi bila kujali itkadi zao,dini zao,elimu yao,kabila zao,na jinsia zao hawa ndiio mashujaa wetu...
Wanabodi,
Leo nimepata fursa ya kushuhudia upigaji kura za ndio kwenye BMK!, nikanote hamasa kubwa kupitiliza kwa baadhi ya wajumbe waliopiga kura za ndio, wakitanguliza vibagwizo, nimetumwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.