KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
USHAJIULIZA KWANN AMBAO HAWAKUPIGA KURA WANAPIGA KESHO SAAA TATU WAKAT TARATIBUZAO ZINASEM MTU ATAWEZ KUTUM KURA HAT KWA FAX ??? hawa qalikuw wap had wapige kura keaho hapa naona kuna minada...
0 Reactions
1 Replies
713 Views
Wanefunga matangazo hakuna update inaonyesha wamejaa hasira ,sijui walijiandaaje kuipokea final result ya uchafu wao? Mbona kimya kuna watu migogo ya CCM humu Jamiiforums imetoweka ghafla, hebu...
2 Reactions
26 Replies
4K Views
Siku za karibuni hapa nimepata mchanganyiko sana juu ya mchakato wa katiba mpya unaoendelea Dodoma. Nimeona kuwa jambo linalochukua muda mwingi wa viongozi wengi wa chama na serikali kuzungumzia...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanajamvi muda mfupi ulopita makamu mwenyekiti wa BMK amemkaribisha Paul makonda aongee eti kukanusha upotoshaji kwenye mitandao na kuitaja jamii forums katika maelezo yake amedai kuna thread...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Zipo taarifa kuwa jana jioni ujumbe kutoka Dar ulitua Dodoma na kitita cha nguvu kuwashawishi waliopiga kura za HAPANA kubatilisha kura zao. Taarifa zinasema wajumbe wawili walikubali kuchukua sh...
5 Reactions
61 Replies
7K Views
Yaani hawa waliopiga hapana unaweza kusema wamewaokoa sio WaZenji tu bali na WaTanganyika pia kwa ufupi Wamewaokoa WaTanzania wote. Wamewapiga STOP madikteta on the make ,koroma haliwi nazi japo...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Karibuni sana wana ukawa bila kukawia tuangalie sana TV pendwa ya taifa letu ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania, japo mnajifanya hamuipendi lakini mkiwa majumbani mwenu mnaingalia na kufuatilia...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
SHURA ya Maimamu Tanzania imetangaza hatua za kuikwamisha Rasimu ya Katiba inayopendekezwa, kwa kwenda kuwaeleza waumini wa dini ya Kiislamu kupiga kura ya hapana. Hatua hiyo imekuja baada ya...
2 Reactions
25 Replies
4K Views
Nianze kumpa pongezi mh.Zitto Kabwe kuungana na wananchi wengine kupinga kitendo cha Ccm kutumia mabavu kuandika katiba wanayoitaka wao. Maria Sarungi nimekosa neno la kumwambia na sijui mwanamke...
10 Reactions
100 Replies
14K Views
Humphrey Polepole yupo live Channel Ten akiichambua Rasimu ya BMK 1.Asema Mgombea Uhuru imewekewa masharti mengi ni sawa na hakuna. 2.Rais Kapewa Madaraka Mengi. 3.Wakuu wa Mikoa wamerudishwa na...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Ni hamsini kwa hamsini mpaka sasa, ama Mahakama ya Kadhi na Uraia Pacha vitambulike kwenye Katiba au la. Ni ibara a 32 inayohusu Uhuru wa Imani ya dini na ibara ya 59 inayohusu Hadhi ya Watu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wapendwa bunge limeahirishwa yapata saa 6 mchana na litarejea saa 9 alasiri kwa wasomaji wa biblia ndo muda Yesu aliosulubiwa na kukata roho hii inatupa tafsiri gani kwa Mzee Sita na bunge la...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Sio siri kwa Mungu mbali. Imenishangaza sana kuona hata viongozi wa dini,ambao tunawategemea sana katika kutuongoza katika maisha yetu ya kiroho kuwa vipofu kiasi hiki. Hivi ni kweli hawaoni...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Jana, waziri mkuu, Mizengo Kayanza Pinda ametoa ahadi kwamba mahakama ya kadhi, eti itatungiwa sheria pekee bunge la Januari. Tamuko hili lililenga kushawishi kura za waislamu waone kwamba katiba...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Nimeangalia asubuhi nimepata mshtuko hivi ninjia gani inatumika kuhesabu wajumbe ni vijana wabunge kupita nakuhesabu kimya kimya au kuwaita majina ili kutambua uwepo wakila mmoja kiuhalisia
0 Reactions
1 Replies
970 Views
Katika upigaji wa kura kuhusu katiba unaoendelea pale bungeni wabunge wengi wanasimama na kusema kwa niaba ya wanawake, vijana, wafugaji & wakulima napiga kura ya wazi ya NDIYO, hivi wale wabunge...
0 Reactions
1 Replies
891 Views
Haya kweli ni maajabu ya MUNGU,wakati wanatunga kanuni walidhani kura ya wazi ingewabeba lakini sasa imekuwa tofauti, imegeuka mwiba kwa CCM hamna ujanja wa kuchakachua
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimeangalia upigaji wa kura katika BMK kusema kweli kwa Tanzania Bara upigaji kura unatabirika. Yaani ni "formality" tu. Kwa upande wa Zanzibar angalau matokeo hayatabiriki na mtu unakuwa na...
0 Reactions
0 Replies
926 Views
Kauli ya Pinda kuhusu mahakama ya kadhi kutungiwa sheria mwakani ni hot air, haina mshiko kisheria.
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa hakika majina ya Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba walioamua kuungana na Watanzania mamilioni kusema HAPANA kwa Rasimu ya Sitta na wenzake waso haya, yataandikwa kwa rakili za chuma kwenye...
19 Reactions
31 Replies
4K Views
Back
Top Bottom