Ni wazi mbinu wanazotumia wajumbe wa BMK zimechoka kabisa, kwanza ilishajulikana kabisa akidi haiwezi kutimia na hata watu muhimu nchi hii kama mh. rais na wengineo walishaonesha hilo ni tatizo...
Mnakumbuka kuwa idadi ya wajumbe kwa ujumla wao ni 629? lakini cha kushangaza katika siku mbili hizi tovuti husika hapo chini imeondoa majina 5 na kubakisha 624 tu...
The game is over!
Kwa mujibu wa Samuel Sitta alivyotangaza jana, jumla ya Wabunge wote wa Bunge la Katiba = 629
Tanganyika = 419
Zanzibar = 210
2/3 ya 210 = 140
1/3 ya 210 = 70
Kwa hesabu ndogo tu...
Baadhi ya wajumbe wa BMK waliopiga kura ya HAPANA kuikataa katiba pendekezwa wamelalamika kutishiwa na wajumbe wenzao kufuatia uamuzi wao, wamedai kuwa wanaambiwa watafanyiziwa ama warudishe...
Kuna habari zisikuwa hakiki kuwa Mheshimiwa Ibrahimu Lipumba na Mheshimiwa Slaa wakifuatana na njemba zingine za uKAWA kutinga katika viunga vya majengo ya Bunge huko Dodoma kesho mida za asubuhi...
Nawaomba wenzangu wana JF na developer, web surfs nk
achaneni nae ukimzungumzia sana, ni kumtangaza, tusifanye hili kosa, KUMTAJA NI KUMTANGAZA, KUMPAISHA
kwa mfano uzi huu hauhitaji reply kwa...
Ukawa nionavyo mimi kwa uelewa wangu finyu...swala la katiba sio turufu inayoweza kuwafikisha ikulu..watanzania si kama wakenya..ingekuwa wakenya hata haya maadamano yalogeuka kama zile ngoma zetu...
Wakuu bado namtafakari huyu Mzee!
(1) Ana kiburi cha kauli, utadhani ndie Raisi.
(2) Raisi alikutana na wajumbe wa vyama mbalimbali vya siasa
na wakakubaliana kuhusu nini kiendelee...
:hail: Naomba wadau mjifunze kusoma hapa kwanza kabla hujaanzisha New thread inaonekana kabisa wengine mnaandika kama photocopy machine.
Ni ombi tu pitia japo hii first page mpaka chini inatosha...
Naomba mtu ambaye ni mwelewa kwenye hili: Kuna Wajumbe, baadhi, wamekuwa wakipigakura ya HAPANA kwenye IBARA kadhaa na NDIO kwenye IBARA nyingine. Watakapomaliza kufanya hivyo mwishoni athari yake...
Wana bodi nawasalimu:
Kumekuwepo na jitihadi za makusudi za kushupaa kupitisha katiba inayopendekezwa bila maridhiano na mitifuano ya hapa na pale mmeoina leo hii kwa baadhi ya wabunge waliopiga...
Rasimu ya Sitta, haijatimia wala kufikia kiwango cha kuitwa rasimu ya katiba ya wote. Imejaa controversies, imeshindwa kuleta suluhisho za kero za muungano, imeshindwa kuhakikisha usawa, heshima...
Lissu:Mapambano kudai Katiba mpya yaanza upya
katika vitu vinavyothibitisha kwamba, kinachoendelea ni utaratibu wa kulazimisha rasimu ya katiba ya CCM ili katiba...
Muda mfupi ujao wajumbe wa bunge la katiba kutoka Zanzibar waliopiga kura ya HAPANA watazungumza na waandishi wa habari kuelezea vitisho wanavyopata kutoka kwa wenzao waliopiga kura ya ndiyo...
Leo Nimefurahi Sana Kusikia Kuwa Mwenyekiti Wa BLMK Ameomba Maridhiano Ili Kuwabembeleza Wabunge Wa BLMK Ambao Wamepiga Kura Ya Hapana Kwa Rasimu Ya Sita Na Chenge, Hii Ni Aibu Kwa Samwel Sitta...
CCM KUHUJUMU KURA ZA HAPANA KATIKA BMK WAALANIWE NA WATZ WOTE NA WATETEZI WA HAKI KWA DHAMBI HIYO YA KIHISTORIA.
Watz wenzangu, kura ya siri huwa ni siri, na kura hupigwa mara moja tu kupata...
Taarifa zilizonifikia hivi punde, ni kwamba genge la mafisadi lililoko bungeni huku likiongozwa na Samwel Sitta, tayari limeshasambaza wapambe ambao ni makada ya maccm ambayo pia ni wajumbe wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.