Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba kijana, Paul Makonda amependekeza Katiba Mpya itambue baraza la vijana la Taifa. Bwana Makonda amesema Taifa halina chombo kinachowaunganisha vijana. Makonda...
Bunge maalumu la katiba litakamilisha kazi ya kupigia kura katiba itakayopendekezwa kwa wananchi kabla ya kumalizika kwa muda wake wa kisheria yaani oktoba 02,2014.mwenyekiti wa bunge hilo...
Kwa mujibu wa Mh. Samwel Sita (Mwenyekiti wa BMK) ni kuwa mawasiliano waliyoyafanya baina ya kamati ya uongozi wa BMK na taarifa walizothibitishiwa na kamati ya uandishi ni kuwa BMK litakabidhiwa...
UKAWA WAMEDHIHIRISHA HAKUNA WANACHOKIPIGANIA ZAIDI YA MADARAKA
Ni mambo matatu tu yaliyowalainisha UKAWA
1.Tume huru ya Uchaguzi
2. Matokeo ya Urais kupingwa Mahakamni
Mgombea Binafsi
Baada ya JK...
Sijui kilichosemwa mpaka ikafikia kuwa mchakato huo wa Katiba mpya usitishwe hadi baada ya uchaguzi mkuu ,suali ni jee utafutaji huo wa Katiba mpya utaanza ulipofikia au utaanza upya ?
Wananchi...
*Msimamo wa UKAWA na Rais Kikwete hauna utengamano wa majadiliano tena.
*Kinana, Nape waanza kampeni za kuhairisha mchakato wa Katiba.
*Nani abebe lawama za upotevu wa mudana mabilioni ya walipa...
Wote kama tunavyojua bunge la katiba litaahirishwa ili kupisha bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania. Wengi sana wamedai kuwa ukawa wameshinda, na bado kejeli nyingi zinamwendea Sitta eti...
Wengi wanalilalamikia Bunge Maalum la Katiba kuwa limeacha kujadili Rasimu ya Warioba na linajadili "Rasimu ya CCM!"
Well, tulitegemea basi kesi dhidi ya Bunge Maalum la Katiba ifunguliwe...
Mwenyekiti wa BMK, Mh SITTA anazidi kuchanganya mambo na kujitia upofu, na kuudanganya umma kwa kuendelea kushupaa.
Nimemsikia, asubuhi hii akijitamba kwa kuwatangazia wajumbe na Watanzania kuwa...
Napendekeza utekelezaji wa adhabu ya kifo utekelezwe ndani ya muda maalumu mara tu baada ya hukumu kutolewa.Hii ni kwasababu maraisi wamekuwa wazito kuidhinisha utekelezaji wa adhabu hii pengine...
Tunawapongeza TCD na mheshimiwa rais kwa kufikia muafaka kuhusu bunge la katiba. Cha kujiuliza, je ilikuwa ni busara kusubiri mpaka mvutano uwe mkubwa ndo tutafute muafaka? Watu mbali mbali...
Tuna endelea mara zote tunapo fikilia dini zetu wakati mwanzo kabla ya wakoloni ismail na john waleo tulikua tukitumia majina asili tena yasiyo na utofauti wa kiimani na baada ya hawa wakoloni...
Kama nilivyowataarifuni jana, kazi ya Kamti 12 za Bunge Maalum la Katiba kutoa taarifa za Kamati zao mbele ya Bunge Maalum la Katiba ilikamilika jana mchana. Leo Bunge hilo linaanza rasmi mijadala...
Rais Jakaya Kikwete akizungumza na wajumbe wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TDC) alipokutana nao jana Ikulu ndogo mjini Dodoma. Picha na Ikulu
NA WAANDISHI WETU DAR, DODOMA
HATIMAYE mvutano...
Ni wazi haitowezekana Tz kupata katiba bora ya wananchi ikiwa ccm itaendelea kushika dola hata miaka 100, makosa yaliyofanyika 2005-2010 watanzania hatutakiwi kuyarudia maana wote tumeona nani...
Nafikiri kuna haja ya kuwafungulia kesi juu ya mambo haya mawili
1) Matumizi mabaya ya madaraka,
2) Matumizi mabaya ya fedha za umma.
NB; KATIBA HAIJAPATIKANA KWASABABU YA SERA YA CHAMA...
Toka mwanzo Waziri anayesimamia Wizara ya Katiba na sheria walishasema Tanzania haihitaji katiba mpya na wala haina hela, kitakachofuatia katika aibu hii ya kutopatikana katiba mpya chini ya...
Nafuatilia mjadara wa bunge maalum la katiba juu ya mahakama ya kadhi kutwjwa kwenye katiba. Kuna kitu sijakielewa naomba mnijuze vizuri. Hivi kama mahakama ya kadhi ikianzishwa na kusimamiwa na...
Sijui serekali ilichukua hatua gani katika hili. Hivi kweli nchi hii ina serekali?. Hivi hawa wauwaji wamechukulia hatua yoyote?. Hivi hawa watu waliouwawa hawakuwa watanzania?. Hatakama hawakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.