Ndoto ya mamlaka ya Tanganyika kung'aa inazimwa lakini ole wao wenye kuzima nuru ya ardhi hii ya babu yangu.Daima tutakupigania na tutadai mamlaka yako kwa namna yeyote ile sisi kizazi cha ardhi...
Hayo yamejiri kwenye kikao cha CC jana.Ni baada ya kuona mkwamo wa 2/3 kwa pande mbili za muungano.
Source : MTANZANIA leo.
Maswali ya kjjiuliza pindi Bunge likirejea baada ya maridhiano na...
Kati ya mambo ambayo yamekuwa mwiba kwa ssm na ikulu yake ni kitendo cha aibu na fedhea cha kufunga tovuti ya tume ya mabadiriko ya katiba. Licha kufunga tume bado wanatuhuma ya kuficha nyaraka na...
Mamlaka dhahiri ya Tanganyika ilikuwa ni maoni ya kwanza nilipofika mbele ya Prof.Kabudi.Mpaka kifo changu ewe ardhi hii ya babu yangu mamlaka na sauti yako kuu itasikika.Niliamua kuweka maoni...
Wapo baadhi ya Watanzania Wachache sana wanaojificha kwenye kichaka cha neno Wananchi walio wengi walikuwa na hamu sana ya CC ya CCM kuwa ishindwe kukubaliana juu ya aidha BMK liendelee au...
Bunge Maalum la katiba linaloendelea kuketi Dodoma ambalo kwa sasa liko katika vikao vya kamati limenuia kuondoa baadhi ya vipengele muhimu vilivyowekwa katika Rasimu baada ya ukusanyaji wa maoni...
Katibu mwenezi wa CCM amesema Kamati kuu ya CCM imeridhishwa na maendeleo ya bunge la katiba na kuwaasa wabunge kuhudhuria vikao ili kuwezesha upatikanaji wa katiba mpya.
Source: Chanel ten
Habari wana JF!
Nimejaribu kukumbuka baadhi ya matukio ndani ya BMK nikagundua kuwa kuna uwezekano mkubwa mianya/uhuru alioutoa mwenyekiti wa bunge hilo ndiyo sababu kubwa iliyopelekea hali...
Hili swali nimekuwa nikijiuliza sana. Hawa wenzetu wanaodai kupata uraia wa nchi mbili wanafikiria sawa sawa kweli?
Asilimia kubwa ya hawa wenzetu wamekuwa hawana mamufaa kwa nchi yetu. Sisemi...
Kwa upande wake; aliyekuwa mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Joseph Butiku, amesema kinachoendelea sasa katika mkutano wa Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma ni utoto huku akiwaonya...
Makamu Mwenyekiti wa Bunge
Maalum la Katiba, Samia Suluhu
Hassan, amesema hadi sasa Bunge
lina uhakika wa theluthi mbili
kutokana na mahudhurio ya wajumbe
kutoka pande za Muungano...
Mchakato wa Katiba mpya umefika ulipofika.Yakusema yamesemwa;ya kufanywa yamefanywa. Mambo yamefikia yalipo kutokana na misemo na matendo yetu kama wananchi wa Tanzania. Hatuna mtu wa kumnyooshea...
Wakuu,
Tumesikia mara kwa mara ndugu zetu wa kile kikundi kinachojiita UKAWA wakimwagiza (na huu ni utovu wa nidhamu kumwagiza Rais) kwamba alivunje Bunge Maalum la Katiba kwa kuwa eti kwa hali...
UN imekuwa na kazi ya kushughulikia migogoro inapotokea katika nchi wanachama kwa njia za kufanya usuluhishi, kutuma majeshi, kuwekea vikwazo na kutuma misaada kwa wahanga wa machafuko ya...
Kuna ule msemo maarufu unaosema kwamba ‘Ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni'. Msemo huu bado ungali unasadifu hali halisi iliyopo hapa nchini. Juzi nimesikia baadhi ya makada wa CCM...
Mh. Samweli Sitta mwenyekiti wa BMK ameyasema hayo nyumbani kwake Dodoma akihojiwa na mwandishi wa habari wa Startv.
Katika mahojiano hayo amesema wajumbe wa UKAWA wanawapigia simu kuhoji ni kwa...
Napenda kuuliza kama kuna kipengele cha hivo kwenye sheria yeyote.
Lengo la swali ni kutaka kujua kama tunaweza kuiweka "pending" kisha tukaenda kuwaomba wananchi wazalendo, wale waliotoa maoni...
Mwenyekiti wa CUF Ibrahim Lipumba akizungumza na waandishi wa gazeti hili. Picha na Edwin Mjwahuzi
Na Elias Msuya, Mwananchi
Jumatatu,Agosti 18 2014 saa 7:56 AM
Kwa ufupi
Sisi tunao wabunge...
Wana JF
Kwa wote mnaofatilia bunge la katiba pamoja na mijadala iliyojitokeza haya mawili tu yanatosha kuwaangusha ccm mda si mrefu
1. MAHAKAMA YA KADHI
Hili swala limeshawaangusha ccm japo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.