KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Baada ya kuutazama mdahalo ulioandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere na kuona hoja hoja na ujasiri wakina wa Prof Palamagamba Kabudi na Mzee Butikuimebidi ni jiulize ingekuwaje kama na Dr. Mvungi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ni wazi ndugu sitta anajua kwamba akidi ya zanzibar haijatimia na ana barua kutoka chama cha wananchi na ukawa kususia kikao,lakini sitta kakiitisha,kakalisha watu wajadili jambo huku akijua...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Utendaji wa JK umetiliwa shaka kwa muda mrefu, Kauli ya John Mnyika inathibitisha hili; Ukiachana na kushindwa kwa agenda ya maisha bora kwa kila mtanzania, Sasa JK ndio anakwenda kutia aibu; Aibu...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
"..Vyenginevyo kama tunavyotaka sasa....Umefika wakati kila mmoja aende kwa(o)ke,tfanye uamuzi huo..lakini uamuzi huo mfanye baadae mie sipo .." Mwisho wa kunukuu aliyoyasema Mh.Kikwete katika...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Dar/Arusha. Joto la kushinikiza kusitishwa kwa Bunge Maalumu la Katiba (BMK), linazidi kupanda nchini baada ya wabunge na vyama vya siasa kuendelea kusisitiza kuwa Bunge hilo halina tija kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa mujib wa sheria za bunge zilizopitishwa na bunge la jamhuri ya muungano kuhusu mchakato wa rasm ya katiba, bunge litaijadil rasm [hata kubadil kwa tafsir ya wengine] vifungu baada ya hapo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hii imetokana na kauli yake aliyoitoa bungeni ,wabunge wawe wawazi tu kwamba kuendelea na vikao hivyo wakati ni dhahiri kwamba katiba yenyewe haiwezi kukamilika ni kutengeneza bomu ambalo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Dar es Salaam/Moshi. Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimeanza kumeguka baada ya baadhi ya wabunge wake ambao ni Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, kuunga mkono kauli ya Naibu Katibu Mkuu wake, Mwigulu...
7 Reactions
45 Replies
6K Views
Habari wadau. Ninaomba nitoe maoni yangu juu ya sababu hasa za chama cha mapinduzi ccm, kuogopa muundo wa serikali tatu. Sioni serikali tatu zitavunjaje muungano kwa sababu,ni kutoa uhuru kwa...
0 Reactions
0 Replies
690 Views
Kinyume na kauli ya Mwanachama wao wa CCM ambaye pia ni mwenyekiti wa bunge maalum la katiba Samweli Sitta aliyoitoa siku ya ufunguzi wa bunge kutaka serikali kuzuia na kupiga marufuku watu na...
3 Reactions
45 Replies
7K Views
Kinana,Sitta ,CCM na katiba yao wanachimba shimo kama Nguchilu. Nguchilu ni mchimbaji mzuri wa mashimo ambayo hutalajia iwe ndio nyumba yake,lakini kila akichimba wenziwe wanamwahi wanakaa,fisi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Maoniya ACT-Tanzania kuhusunamnayakutokakatikamkwamouliopokatikamchakatowaKatibaMpya 1. Nchiyetuiliingia katika mchakato wa Katiba kwa kushirikisha wananchi wote ili kupata Katiba...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nikiwa kwenye umachinga wangu hapa Dododoma nimekutana na sura nyingi za wajumbe wa bunge maalum la KATIBA wengi wao ni wale wa kundi la UKAWA a.k.a tatu chafu. Wengi wa wajumbe hawa ni wabunge wa...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
MASWALI MAGUMU YALIYOMSHINDA STEVEN WASSIRA UBUNGO PLAZA HAYA HAPA: Swali la Kwanza; Kama unaukataa muundo wa muungano wa Serikali tatu uliopendekezwa na wananchi kupitia Tume ya Jaji...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Kile kinachoitwa kikao cha BMK chini ya uongozi wa mr.six kinaendelea kule Dodoma kwa ajiri ya kutunga katiba.kwa kuwa ibara ya 1na 6 hazijatolewa uamuzi,je katiba ambayo six anaongoza wanaccm...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ilibidi kanuni ibadilishwe ili sura zote zijadiliwe ndipo upigaji kura ufanyike kupitisha katiba inayopendekezwa. Sababu zilizopelekea hatua hii kufanyika ni kwa vile wajumbe wanajua kwamba 2/3 ya...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Wazalendo wenzangu popote mlipo, Tunaendelea kupambana usiku na mchana dhidi ya uovu wa ccm na matawi yake wanaofinyanga matakwa ya umma juu ya Katiba Mpya. Ccm imeandaa kongamano la walimu...
5 Reactions
22 Replies
3K Views
eti naskia ukawa wamerudi bunge la katiba kweli??? na je ni lini wamerudi??? msaada wenu wazalendo!!!!
0 Reactions
1 Replies
931 Views
Ukiacha historia iliyoachwa na waasisi wa muungano wazee wetu J.K. Nyerere na A. Abeid Karume sasa wanakuja wengine ambao hawatafutika katika vitabu vya historia ya muungano wa Tanzania. Hawa ni...
7 Reactions
12 Replies
4K Views
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimeanza kumeguka baada ya baadhi ya wabunge wake ambao ni Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, kuunga mkono kauli ya Naibu Katibu Mkuu wake, Mwigulu Nchemba...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom