Wapo Wazee walioshuhudia mengi zaidi kabla na baada ya Uhuru.
Mzee EDWIN MTEI, NDESSAMBURO, AUGUSTINE LYATONGA MREMA.
Tukizungumzia vijana ambao wameweka historia katika taifa hili ambae...
Kwako MH. sitta, Ume kalia kiti cha uwenyekiti kwa sababu ulichaguliwa tu na wajumbe wenzako kwa imani kuwa utawaongoza vyema, pengine usipo kuwepo leo au kesho atakalia mjumbe mwingine na bunge...
Mh. Harold Sungusia, nakushauri wewe na LHRC, kwenda mahakamani KUSITISHA UPUUZI unaoendela sasa katiba bunge la katiba. Pamoja na kuwa kama ulivyosema mnapima hasara na faida, kutokana na...
Gazeti la raia mwema limeandika
ORODHA ya majina ya wabunge 16 wanaotafutwa ili Bunge Maalumu la Katiba (BMK) liweze kutimiza akidi ya wapiga kura watakaoweza kupitisha Katiba imepatikana...
Ni maoni yangu kuwa kinachoendelea ndani ya UKAWA, kuwazuia wajumbe wake kuhudhuria vikao vya BMK ni ubabe usiomithirika katika ulimwengu huu wa demokrasia. Ninaamini lipo kundi kubwa la wanaUKAWA...
Haya ni maneno ya Mh Leticia Nyerere, baada ya yeye kuanza kuhudhuria BMK wakati
wana UKAWA wameweka mgomo. Hii ni kauli ya kishujaa kabisa, hata watoto wake watamkumbuka.
Mandla,
Wa Dodoma.
Nimesikiliza hotuba nyingi za Mh. Rais na hata maswali anayoulizwa na nimegundua namna yake ya kujibu maswali ya wananchi hairidhishi, kwa maana nyengine hujibu bila kuheshimu swali kwa taadhima...
nimemwona saidi arfi mbunge wa chadema akiwa dodoma.naamesema vyama vya siasa visiwabane wao.hili sio bunge la vyama vya siasa.hili ni bunge la katiba.
kayasema hayo live itv habari usiku huu
Kama lilivyo jina ni umoja wa katiba kwa hy km ilivyokuwa nia yetu katiba ibadilishwe kwa hy uwepo wenu ni muhimu bungeni kuliko tunavyofikiria vinginevyo hata umoja huu utakuwa hauna maana km...
Nashangaa na kujiuliza haswa maana ya usemi huu unaopendwa kutamkwa siku hizi kuwa Katiba ni jambo la maridhiano ,hivi maridhiano haya ni baina ya nani na nani ? Je ni maridhiano au makubaliano ...
Mwanasiasa wa Kiingereza anayeitwa Harold Wilson alishawahi kusema, A week is a long time in politics. Kwa siasa za Tanzania, ninaweza kusema, A day is a long time in Tanzania politics...
Kwa wale walio karibu na Tanganyika Law Society. Tunaomba msaada video ya debate iliyo andaliwa na Tanganyika Law Society. Inasikitisha sana karne hii upatikanaji wa youtube video za bunge la...
Katiba sio muundo wa serikali pekee na ni lazima tupate suluhisho kwenye swala hili ili tuwe na katiba mpya. Swala la muundo wa muungano liwekwe moja kwa moja kwa wananchi kupigia kura halafu...
Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Hamad Rashid Mohammed
Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Hamad Rashid Mohammed, amesema ni lazima Bunge hilo liandike upya katiba kwa kuwa lina mamlaka ya...
Tatizo kubwa lililopo kati ya hawa watawala wa CCM na Tume ya Warioba ni kwamba hii raimu ya Pili ni TRANSFORMATIVE. Kwa mujibu wa Warioba hii raismu italeta mageuzi makubwa katika nchi na hivyo...
Katiba ya nchi haiwezi kuandikwa bilamaridhiano ya makundi yote. SitakwendaDodoma licha ya ushauri mbalimbali kwambanikasemee ndani. Nitakwenda kwenye Bungela Katiba pale tu nitakaporidhika kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.