Habari zisizo rasmi kutoka Dodoma zinadai kuwa Bunge Maalum la Katiba limeahirishwa hadi hapo maridhiano kati ya makundi yanayokinzana yatakapopoatikana.
More details zinafuata
Yaani katika vitu ambavyo vimenichefua leo ni kusikia eti mojawapo ya kamati za bunge la katiba wanajadiri uwepo wa mahakama ya kadhi. Ivi hawajui kama wanataka kuleta mzozo usio wa lazima...
Mchakato wa kupata katiba mpya unaendele kwa bunge maalumu kujadili sura mbalimbali kupitia kamati zake.
SWALI kubwa ninalojiuliza mimi ni kwa nini mwenyekiti wa bunge maalumu na chama chake cha...
Katiba kuongeza kipengele cha ardhi
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Uratibu na Mahusiano, Stephen Wassira, amesema Katiba Mpya inatarajiwa kuwekwa kipengele kitakacho iweka ardhi kisheria na...
MZEE Joseph Sinde Warioba, nimekuwa nikimheshimu kama Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais mstaafu. Nilimwamini na kumchukulia kama mmoja wa wanafunzi wa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere...
Wanafunzi vyuo vikuu vyote tanzania wanasema katiba mpya ni mali ya wananchi ambayo ikipatikana itaenda kutatua nakupunguza kero zinazo wakabiri wakulima,wanafunzi,walimu,na wafanyakazi wengine...
Najiuliza je baada ya katiba hii muungano kupita .je tutatunga katiba ya Tanganyika or let say Tanzania bara ? Maana aiwezikani Zanzibar watunge katiba yao wapendavyo wakiwa wenyewe alafu...
TANZANIA NA UTITIRI WA VYAMA.
kuna wakati nilishawahi kuambiwa ati wakati mfumo wa vyama vingi unaingia mwaka 1992,Watanzania walisita na walikataa kabisa kuingia huko,naskia eti kwa busara za...
Ndugu yangu Mwanakijiji,
Nafahamu kuwa unazo softcopy zote za Viambatanisho (Randama zote) za Rasimu ya II ya Katiba.
Ni vyema watanzania ambao hatukupata fursa ya kuona hivyo viambatanisho...
Nimesikia mara kwa mara watu maarufu na hata wale ambao siku zote ni "outspken" na ambao wamekuwa wakim-criticize raisi Kikwete hadharani wakimsifu eti alikuwa na nia njema ya kuanzisha mchakato...
Wenye tamaa ya madaraka wameamua kutengeneza katiba inayowapendelea wao kama watawala na ni katiba iliyodharau maoni ya wananchi. Wananchi ambao ndiyo waliowaweka hao watawala madarakani. Watawala...
Katika mdahalo wa katiba Mpya Ubungo Plaza Tundu Lissu alisema kwamba katika kundi la 201, Rais Kikwete alichangua wajumbe 166 ambao walikuwa ni makanda wa CCM. TL alifikia hatua ya kuwataja kwa...
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Mhe Said Arfi (pichani) ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mpanda Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA)amezitaja sababu za kurejea katika bunge...
Wakuu,
Najaribu kulinganisha "homa" waliyonayo UKAWA juu ya Serikali 3 kama wananchi wa kawaida wanayo. Ukweli ni kwamba wananchi wako busy na shughuli zao za kila siku za kutafuta mkate!
Kwa...
Jakaya Mrisho Kikwete, rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania anatarajiwa kuahirisha Bunge Maalum la Katiba ili kusaka suluhu baina ya CCM na Ukawa, imethibitishwa.
Tayari kamati ya uongozi ya...
Hiki kikundi kimekuwa kikipiga makelele na kucheza mdundiko ambao hauna maadili kwa watoto wetu. Kelele zao zinasababisha majirani tusilale. Mimi kama mwenyekiti wa mtaa nimewaita kwenye mkutano...
Tumekuwa tukiambiwa kinachojadiliwa Dodoma ni Rasimu Feki na siyo ile ya Tume ya Jaji Warioba. Binafsi nimehangaika kuitafuta hiyo Rasimu feki sijafanikiwa kuipata. Naamini humu JF kuna watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.