KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Mjumbe wa Bunge la Katiba,Leticia Nyerere na wenzake waliokwenda Dodoma kinyume na msimamo wa UKAWA,hawajahudhuria vikao vya kamati vinavyoendelea Dodoma.EATV,imethibitishiwa m/kiti wa kamati...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana Dodoma. Katika jitihada za kuliepusha Bunge la Katiba kupoteza mwelekeo, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimewataka wajumbe wake kuacha kumjadili mwenyekiti wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Akizungumza ndani ya kipindi cha hotmix kinachorushwa na chaneli 5, mtangazaji wa kipindi hicho steve amesema kwamba amefanya mawasiliano na mh shibuda ambaye kasema yeye hakwenda na hayuko...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mkutano unaoendelea hivi sasa huko Dodoma hauna uhalali wa kisiasa. Kinachofanyika huko ni kula kodi zetu kwani wote wanajua katiba inayojadiliwa haina maridhiano ya kitaifa. CCM wanadai akidi...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Tangu jana jioni zilipovuja habari za kushiriki katika BMK kwa mh . Leticia Nyerere, kuna baadhi ya watu walimtaja pia Mh . Chiku Abwao kuwa naye anashiriki bunge maalumu laKatiba. Muda mfupi...
4 Reactions
25 Replies
3K Views
Watanzania watambue hakuna nafasi ya kuipata katiba ikiwa tutakuwa tunaendeleza malumbano,mabishano na maandamano, tunahitaji kukaa PAMOJA na kutumia njia ya majadiliano na busara ili Maridhiano...
0 Reactions
0 Replies
695 Views
Yaani kama ulikuwa una mauzauza na kuona Bunge La Katiba ni kwa ajili ya WaTZ na sio CCM kwa kweli utakuwa umepotea vibaya sana na hata njia ya kuelekezwa ukarudi kwenye mstari itakuwa ngumu kama...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wana jf. Bunge la katiba linaendelea kwa zile kamati zetu kumi na mbili if i'm not wrong. Lakini kwa mujibu wa maelezo yao, bado wataibuka na maoni ya walio wengi na pia maoni ya walio wachache...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau nawasalimu, mbunge wa Arusha mjini bwana Godbless Lema kupitia mtandao wake wa facebook amesema kitendo cha Leticia Nyerere kurudi kwenye bunge la katiba ni USALITI MKUBWA kwa wananchi,pia...
0 Reactions
119 Replies
11K Views
Ni siku kadhaa sasa CCM na mawakala wao wanaijadili rasmu ya katiba isiyo ya wananchi wetu, lakini UKAWA mmekaa kimya mmejifungia tu kwa nini? tume ya Warioba ina waunga mkono sasa kweli hakuna...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
NAITAMANI TANZANIA YENYE MUUNGANO WENYE SURA HII: Namatani Sana siku moja niwe na nchi ambayo ina Muungano wenye sura kama hii ifuatayo: · Kwanza kabisa, naitamani Tanzania ambayo ina Rais Mmoja...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Baraza la Vyama vya Siasa Tanzania limesema kwamba kongamano la kujadili chakato wa kutunga Katiba mpya na changamoto zake lililopangwa kufanyika Agosti 9 na 10 mwaka huu limesogezwa mbele, hivyo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Angalia kielelezo hiki Mkoa Eneo (km2) Morogoro 70,799 Lindi 67,000 Ruvuma 66,477 Mbeya 62,420 Singida 49,437 Manyara...
0 Reactions
1 Replies
766 Views
Ni bunge lao.limesheheni wajuaji wakusema ,watu wasioona FUTURE ,CCM wanachokifanya sasa nikujijengea mihimili ya kuzidi kuitawala Tanzania kimabavu ,na kama tulivyosikia kama CCM wanajiona ni wao...
1 Reactions
2 Replies
977 Views
Mimi nitakuwa mtu wa mwisho kumwelewa huyu rais kwa sababu zifuatazo. 1.analalamikia idadi ya watu waliotoa maoni kuwa ni ndogo wakati tume aliunda yeye na muda na bajeti katoa yeye. kwa hapa...
7 Reactions
16 Replies
1K Views
Bunge la Katiba linaendelea pasipo uwepo wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) wanaoongozwa na CHADEMA,CUF na NCCR-Mageuzi. Nilionavyo Bunge la Katiba linapunguza idadi ya wagombea wa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana Siku moja baada ya Bunge Malumu la Katiba kufanya mabadiliko ya kanuni kwa ajili ya kuwabana wajumbe wa vyama vinavyounda...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hebu tuangalie mambo yaliyopo kwenye hiyo Rasimu. 1.SURA YA KWANZA. (Jina, Mipaka,Alama, Lugha NA Tunu za Taifa. 2. SURA YA PILI (Malengo muhimu, Misingi ya mwelekeo wa shughuli za serikali na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wanajamvi, unaweza ukadhani kama nimeongeza chumvi nyingi sana katika heading ya taarifa hii hasa ukizingatia kile ambacho nakwenda kukijadili. Ninacholenga kukijadili hapa kinaweza kisiwe...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Huyu ni mwenyekiti inayesimamia mchakato huu ambao unahusisha mambo ya haki ya habari,lakini hata kabla ibara hazijajadiliwa, ameonyesha msimamo wa kuzikataa haki hizo
0 Reactions
0 Replies
690 Views
Back
Top Bottom