kwa wale ambao walifatilia mdahalo ambao jaji warioba na butiku alikuwepo ulivutia hisia za watu wengi sana hususani wenzetu na sie ambao hata hatujui kinachojiri katika RASIMU FEKI mpaka babu...
MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, amejibu mapigo ya wanaozungumzia mchakato wa Katiba mpya nje ya Bunge Maalumu. Amesema Bunge hilo lipo kihalali na lina haki ya kujadili na...
Kwa wale wanaopinga serikali tatu, naomba ufafanuzi usiozidi mistari Mitano (Kwa Muhtasari), nini kazi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa upande wa Zanzibar? Namaanisha Rais wa jamhuri...
Kauli ya Warioba imeungwa mkono na Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba wakati akichangia hoja ya mabadiliko ya kanuni ya Bunge hilo kwa kulitaka bunge hilo kujitathimini iwapo baada ya mjadala...
Dar es Salaam -
Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amesema kuendelea vikao vya Bunge Maalumu la Katiba bila kuwapo maridhiano baina ya pande zinazovutana na...
Salaam wakuu,leo ni siku ya pili toka kuanza kwa bunge maalum la katiba jana tar 5/8/14.ni siku ya pili kuendelea kufuja pesa za watanzania wanaopambana usiku na mchana kujinasua na maisha ufukara...
- Jamani nasikitishwa sana na hii idea ya Wabunge wa Katiba Dodoma of how wanapoteza muda mwingi sana kuongelea non ishus, I mean toka wameanza Asubuhi nipo hapa nawaangalia nasikia kutapika U...
Huyu bwana anajua kwamba bunge halitakuwa na maamuzi yoyote ya kura,lakini kaliitisha na analipa watu posho, huu ni ufisadi mkubwa kwa kuwa anajua fika kwamba haiwezekani katiba ikapatikana bila...
Wadau wapenda amani na utulivu salaam!
Napenda kuonesha wasiwasi wangu juu ya kundi la watu wachache ambao kimsingi ni wawakilishi wa wananchi. Wasiwasi wangu unajengeka katika hali ya kuzuka kwa...
Hizi serikali mbili za CCM ambazo hazikuwahi kujadiliwa katika utaratibu wa bunge la katiba na makundi mbalimbali na mabaraza ya katiba kuhusu muungano wanazotaka kutuletea ni nini? Yaani...
Waziri Mkuu Mizengo Pinda amesema serikali ingejua kuwa suala la Muundo wa Muungano litaleta mvutano kiasi hiki wangeanza na kura za maoni kwa wananchi kuwauliza muundo wanaoutaka.
Source : Mwananchi
Dodoma. Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba watakuwapo mjini Dodoma kwa siku 90 kwa lengo la kukamilisha mjadala na kupitisha Rasimu ya Katiba itakayokwenda kupigiwa kura na wananchi...
Huko Bungeni CCM na 201, acheni kujadili watu, jadilini hoja.
Watanzania wanataka suluhisho la kero za muungano, acheni mipasho.
Watanzania wanataka kupata suluhisho la migogoro ya ardhi, ajira...
kwanza kujiona wanaweza kubadili kila kitu katika Rasimu ile kwa kusema wao wamechaguliwa na wananchi, Ni ajabu sana mtu mzima kutokuelewa tofauti ya Bunge la kutunga sheria za nchi na Bunge...
Kama kawaida nawapatia habari mpya na za jikoni.CCM hivi sasa inasaka wabunge 16 tu kutoka zenji kuweza kupata theruthi 2 kwa upande wa zanzibar.hapa CCM inacheza na takwimu tu,waliosusa wataisoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.