KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
BMK ijulikane siyo mhimili wa dola ukililinganisha na bunge la jamhuri yenye mamlaka kamili ya utawala na ni sehemu ya serikali. BMK halina mamlaka ya utawala. Kitendo cha samwel sita kuamuru au...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
KWA UFUPI Amesema kauli kwamba idadi ya wajumbe wa Bunge hilo imetimia na vikao vinaweza kuendelea haiwezi kuzaa Katiba itakayokubaliwa na wananchi wote na ni tofauti na Sheria ya Mabadiliko...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimemsikiliza kwa makini sana Mheshimiwa Warioba na hata mzee Butiku, mara kadhaa wametumia neno "Tathmini ya Tume" sana sana wakati wakielezea muundo wa serikali tatu, tukumbuke kuwa wanatume...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Wazanzibari ni watu wanaopenda uwazi kuelezea hisia zao (hata kama ni kali) na kuyaweka mambo yanayowatatiza mezani ili kujadiliwa ili kupata suruhu. Watanganyika wao mambo yao huyaweka na...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
UTAWALA BORA Utawala ni matumizi ya mamlaka ya kisiasa, kiuchumi au vinginevyo katika kusimamia masuala ya nchi kwenye ngazi zote. Utawala bora ni matumizi ya mamlaka ambayo yanakuwa na uwazi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Makamanda nimeikuta hii mahali nikaona ni vema sote tuisome.... Mbali na Kulaani vikali kauli ya Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba Ndugu Samweli Sitta na Pia agizo la Mkuu wa Mkoa Wa Dodoma...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi nadhani Tume ikishamaliza kazi yake ndo adios Sasa hii ikoje ikoje
0 Reactions
16 Replies
2K Views
KWANINI NASEMA UKAWA WAPO SAHIHI KWA ASILIMIA 100 Kumekuwa na wito kutoka kwa makundi,taasisi na watu mbalimbali wakiwataka wajumbe wa bunge wa kundi la UKAWA walejee bungeni,na kwamba kama ni...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Bunge maalum la katiba a.k.a bunge la posho kwa sasa, limeongezewa siku 30 na kufikia siku 90. Source : Mwananchi
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa mawazo yanayonijia kichwani kuna kila sababu za kuahirisha mjadala wa katiba mpya mpaka maridhiano yatapopatikana kati ya makundi mawili ya kisiasa yanayovutana TAKWA na UKAWA...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari iliyoenea kwenye vyombo vya habari mbunge wa cuf viti maalum alionekana bungeni imewashtua wazalendo wa nchi hii. Alipoulizwa na mwandishi kama yupo dodoma, alisema ni kweli yupo dodoma...
2 Reactions
14 Replies
4K Views
WATU WALIOJAA UZALENDO NA UKWELI JUU YA TAIFA LETU CHA AJABU NA CHAKUNISHANGAZA NI KWA VIONGOZI WETU KUENDELEA KUWABEZA HAWA WAZEE NA HATA KUTAKA KUDHIBITI KABISA HARAKATI ZAO ZA...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Mchakacho wa kuunda Tume ya Katiba ulionekana kuwa mzuri kwa Rais Kikwete kuchagua wajumbe waliosheheni na kukamilika katika masuala ya sheria, uongozi na heshima kitaifa na kimataifa. Kundi hilo...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Mjumbe mmoja wa bunge la katiba wa CHADEMA kasema kuwa wao wamegoma kuingia bunge la katiba ili kuweka nguvu uchaguzi unaoendelea ndani ya CHADEMA ili ccm wasije ingiza mamluki wao.Hivyo viongozi...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Ndugu Watanzania wazalendo wa taifa hili,mimi nadhani kwa uzalendo na,uadilifu mkubwa alio uonyesha mzee wetu Warioba ktk taifa hili na hasa hili la kukusanya maoni ya wananchi alilolifanya kwa...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Kwa zaidi ya wiki sasa kumekuwa na mjadala juu ya nini Bunge la Katiba linaweza au haliwezi kufanya kwenye Rasimu ya Katiba iliyoandaliwa na Tume. Mjadala huo ulianzishwa na Jaji Warioba...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mch.Zakaria Kakobe ameunga mkono kundi imara la UKAWA kusimamia msimamo wao wa kutorudi bungeni kama maoni ya wananchi hayatazingatiwa.Pia amewashangaa viongozi wa wengine dini kuwataka UKAWA...
0 Reactions
102 Replies
7K Views
Mjumbe mmoja wa UKAWA kwa mujibu wa gazeti la Mwananchi leo ametinga Dodoma kwa ajili ya kuendelea na vikao vya bunge la katiba. Nimeipata hii RFa Fm habari kwa ufupi magazetini. Nalitafuta gazeti...
0 Reactions
62 Replies
7K Views
Kama mliangalia live star TV mdahalo wa katiba leo sina haja ya kurudia lissu ni wazi alikosa nguvu wakati wa majumuisho hali ya kuzomewa Kitila Mkumbo ameibuka zaidi ya lissu.
1 Reactions
184 Replies
17K Views
Una mzungumuziaje mtu anaepanga bajeti bila kujua idadi ya watu?... Unaonaje wabunge wanapojadili sura nyingine ati wakiacha sura ya sita inayoongelea muundo wa muungano?.. Sura hizo nyingne...
0 Reactions
0 Replies
813 Views
Back
Top Bottom