KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Wamesema wanazuoni. Wamesema wanasiasa.Wamesema wanaharakati. Wamesema waandishi wa Rasimu.Wamesema wananchi wa kawaida.Wamesema wanyonge na wababe.Wamesema watawala na watawaliwa. Amesema hadi...
5 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwanzo kabisa, nilikuwa sielewi chochote kuhusu katiba mpya. Lakini siku zinavyozidi kwenda, ikanifanya nizidi kuelewa nini maana ya katiba mpya na kwanini ina changamoto nyingi. Mimi si...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Natoa msaada wa Ushauri kwa Mh Steven Wassira. Hakuna chombo hapa Duniani chenye uwezo wa kupingana na maoni ya wananchi ! Mradi iliundwa tume kisheria nayo imetumia fedha na muda mwingi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Watanzania wenzangu tumekuwa mashabiki mno nadhani huu ndo wakati wa mabadiliko raisi kikwete hana nia ya kupatikana kwa katiba iliyo tolewa maoni na wananchi kwa sababu zifuatazo kufungwa kwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
KAMA ndivyo, huenda Bunge Maalumu la Katiba, linalotarajiwa kuanza awamu ya pili ya vikao vyake keshokutwa mjini Dodoma, litafanyika bila ya kuwa na wajumbe kutoka kundi la Umoja wa Katiba ya...
1 Reactions
44 Replies
6K Views
Namshukuru sana Mungu kwa kuwapa utashi Ukawa wa kujitambua na kutoka nje ya Bunge maalumu la katiba, kwani tumetambua ya kuwa mpo karibu na wananchi haswa na sio mapato ya kila siku ya Tsh...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndugu zangu watanzania jukumu la kupata katiba bora lipo mikononi mwetu kwa hiyo mtu yeyote anayesababisha kutopatikana kwa katiba mpya ni hadui wa katiba.....wanaharakati na vijana wapenda katiba...
3 Reactions
38 Replies
4K Views
Imefahamika kuna baadhi ya nyaraka ( supporting document) kwaajili ya maoni ya wananchi zimefichwa ili kutudanganya watanzania na kuituhumu tume kuwa imechakachua maoni ya wananchi. Najiuliza...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wana JF! Salaam Sana Pamoja na kuchelewa kutoa wito huu mapama nikiamini kuwa Kikao cha Msajili wa Vyma na CCM kwa upande mmoja na UKAWA kwa upande Mwingine kingepata muafaka. Natoa Rai ya...
6 Reactions
53 Replies
5K Views
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi amepiga marufuku mijadala yoyote inayohusu Katiba na rasimu yake katika maeneo na viunga vyote vya mji wa Dodoma. Aidha amepiga marufuku mikutano ya...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
​ Mbunge wa Ludewa (CCM), Deo Filikunjombe alisema jana kuwa haungi mkono mpango wa wabunge wenzake wa CCM kuendelea na Bunge la Katiba bila maridhiano. “Pengine niwakumbushe wabunge...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu fuatilieni huu mjadala mkali kati ya mwanasheria wa chama chenye matarajio ya kuchua dola 2015,dhidi ya chama kilicho chakaa na kulaanika cha c.c.em. -naona dotto ameanza na gwiji la sheria...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nikiwa katika hospitali ya Jeshi la Wanamaji Kigamboni asubuhi ya leo ambapo nimelazwa kwa kuumwa maralia, nimezama kwenye tafakuri, nikiangaza mchakato wa upatikanaji wa Katiba ya Jamhuri ya Watu...
11 Reactions
94 Replies
8K Views
Tune star tv now. Fuatilia mwenyewe sasa.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ukweli utabakia kuwa ukweli kuhusiana na lengo la kuwepo kwa serikali tatu ,inafaa kila Mtanzania ajiulize umuhimu wa uwepo wa serikali tatu ni nini ? Wapo wanaopenda kuwepo kwa serikali tatu na...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Kila mara ccm wanapokomalia jambo huwa lina maslahi kwao hii tunatambua na tumeshawazoea. Safari hii kama kweli wameamua kulihodhi bunge la katiba kwa hila kama kawaida yao basi tuwe na uhakika...
0 Reactions
2 Replies
941 Views
Nimekuwa nikitafakari sana mnyukano wa katiba mpya na hasa muundo wa serikali. Ninachokiona ni poor timing ya hii katiba mpya kama kweli ipo. Nikionacho ni nyakati hizi tulizonazo ambapo...
0 Reactions
0 Replies
661 Views
Je ni kweli zikikubalika serikali tatu ,,,,! tunazo serikali Mbili ya Zanzibar na Tanzania je tukiirudisha ya au tukiizindua ya Tanganyika kutakuwa na tatizo ? Kwa jinsi MaCCM au Chama tawala...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
leo nimefahamu kwamba baadhi ya maoni ya wananchi yaliwekwa kando na serikali na kwamba hoja za tundu lisu kuhusu katiba ni halisi na kweli:watanganyika japo wameonekana kama ni waoga kwa sasa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Yaaani kurudi kwa Tanganyika nafananisha kabisa na siku tuliopata Uhuru, ni furaha kubwa ilioje kuiona Nchi yangu Tanganyika inarudi ,naiona siku hii ni siku ambayo wale wasiowahi siku ile ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom