Watanzania tunalalamika Bunge la Maalum la Katiba wanakwenda kinyume na sheria inayowaongoza, kwamba hawaruhusiwi kubadili kuchakachua rasimu ya Tume. Wanasheria wetu ambao mlitupa matumaini ya...
SEHEMU YA HOTUBA YA RAIS MWISHO WA MWEZI
Aliongeza:"Jambo lingine ambalo nimelifanya ni kutoa maoni yangu kuhusu baadhi ya vipengele vya Rasimu hususan uandishi na dhana mbalimbali...
Kutokana na bunge hili kuwa na kazi ya kutunga katiba napendekeza lifanye kazi bila kutangazwa hadi siku watakapokuwa wamemaliza kutunga katiba na kuitoa kwa wananchi.
Bunge hili kazi yao ni...
Kesho mida ya saa nane mchana usicheze mbali na tv yako mwanajf kwani ITV watakuletea mdahalo wa moja kwa moja kuhusu katiba ambao meza kuu atakua jenerali ulimwengu na mwanasheria msomi wa Kenya...
Safi sana shekhe Katimba kwa kuwakiongozi wa kidini ambaye ni shupavu kwa kusema ukweli dhidi ya maccm.Asante kwa kuwaamsha BAKWATA na maaskofu njaa.Asante kwa kujali maoni ya wananchi.Alaniwe...
Tumekuwa waoga sana hata tunaogopa kujadiliana ukweli, kila mtu anaogopa. Hii inaletwa na tatizo kubwa la uchumi, uhakika wa ajira, kazi na biashara za kujuana, elimu mbovu isiyoandaa watoto wetu...
1.kwa sababu wote wanadai wanasimamia maslahi ya wananchi wa tanzania na wameshindwa kuelewana kuhusu muungano na idadi ya serikali na kwa sababu mabosi wao(wananchi)hawajafa na wako hai warudi...
Leo makatibu wenezi wa vyama viwili Chadema(demokrasia) na CCM(Ufisafi) watakuwa wakidadafua juu ya Katiba mpya .mada ni UZALENDO.
Usikose kupata elimu toka kwa kijana machachali JJ Mnyika.
Tunachokishuhudia kwenye bunge la katiba ndicho tulichopaswa kukishuhudia! Hakuna jipya tutakaloliona au kulitarajia kwenye bunge la katiba nje ya malumbano yanayolenga kutafuta ushindi wa pande...
Ndugu zangu,
Mchakato wa Katiba ni mchakato wa kidemokrasia. Hivyo, ingesemwa pia ' La Democracy Fatigue' - Kuchoshwa kidemokrasia.
Ninavyoifuatilia mijadala ya kijamii, na ninayoyasikia mitaani...
WAKATI Umoja wa Katiba (UKAWA) ukiwalaumu baadhi ya viongozi kwa kupendelea CCM, Jumuiya, Taasisi za Kiislamu na Shura ya Maimamu nchini, wamewataka wasirejee bungeni hadi watakapohakikishiwa kuwa...
Kutoka gazeti la Tanzania Daima.
WAKATI Umoja wa Katiba (UKAWA) ukiwalaumu baadhi ya viongozi kwa kupendelea CCM, Jumuiya, Taasisi za Kiislamu na Shura ya Maimamu nchini, wamewataka wasirejee...
Habari zenu wa jf.
Kwa mara ya kwanza najitokeza kwa jukwaa hili kuuliza swali la msingi sana ambalo nmekosa majibu huku mtaani kwa watu niliyo wauliza. Mara nyingi mim sama jf huwa inanipa majibu...
Imenichukua siku,wiki,mwezi hadi mwaka kuitafakari imani yangu ya dini ambayo nilihodhishwa toka kwa wazazi wangu ambao wako imani fulani ya kidini.
Hii ni kwakuwa tangu utoto sijawahi pewa...
Ukawa ni vema mkarudi bungeni, sisi Wananchi kupitia mikutano yenu na midahalo yenu, hatujaona sababu ya msingi iliyowatoa katika mkutano wa bunge. Wala siyo ombi, timizeni wajibu tuliowapeni...
Kama Mtanzania kutoka Tanganyika niko tayari kukubali serikali mbili kama watakavyo CCM ikiwa tu - wazanzibari hawatakua na mamlaka ya kikatiba kushiriki na kuamua mambo ya Tanganyika (ukipenda...
Ndugu Wana JF na Watanzania wenzangu,
Bado siku 4 tu Bunge Maalumu la Katiba(BMK) lianze kikao chake cha 2 ili waendelee na mjadala wa Rasimu ya 2 ya Katiba mpya kama ilivyowasilishwa na Tume ya...
Kitu ambacho wanaotaka Muungano wa Serikali mbili hawasemi ni kwamba, je katiba itamzuia Mzanzibar kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa TZ? Hii ni kwasababu rais wa Muungano ndiye atakuwa rais wa...
Wadau, leo ni tarehe 31/7/2014 ambapo imebakia siku tano kuanzia leo kabla ya bunge la katiba kuanza tarehe tano ya mwezi wa nane unaonza na hakuna dalili yoyote inaoonyeshwa na viongozi wa UKAWA...
Tumekuwa tukiwasikia viongozi mbalimbali wa serikali, dini, siasa na Asasi wakiwasihii UKAWA warudi bungeni kuendelea na mchakato wa katiba, mbona hatuoni nguvu kama hiyo ikitumika kuusihi upande...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.