Mwaka 1984, Rais wa Zanzibar, Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, na Makamo wa Pili wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Aboud Jumbe Mwinyi, alilazimishwa kujiuzulu katika Mkutano Mkuu wa...
Ni baada ya kutoka bunge la katiba kwa mbwembwe na kiburi kama timu ya mpira iliyofuzu mashindano huku wakijua na kuamini Watanzania wa sasa ni wale wa mwaka wa 47, wakaamini lengo lao la kutoka...
Wakuu,
Kile kikundi kinachojiita UKAWA kimekuwa kikidai mara kwa mara kuwa CCM wana Rasimu yao mbali na ile ya Warioba, naomba mwana-UKAWA, mshabiki yeyote wa UKAWA au mtu yeyote atuwekee hiyo...
ukawa ni taasisi isiyo rasmi kuna dalili kugawanyika habari za ndani zinasema baada ya kutoka BMK ukawa walizunguka baadhi ya mikoa kwa kutumia helkopta ya chadema nao wanadaiwa malipo cuf na nccr...
muungano:
Zanzibar + Tanganyika= Tanzania.
Tanzania -Zanzibar= Tanganyika.
Tanzania-Tanganyika=Zanzibar.
serikali 1:
serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania.
serikali 2:
serikali ya...
Maccm wanataka tutumie fedha zetu,wapitishe wanachokitaka wao,kweli wananchi wataikataa,baada ya hapo kinafuata nini....?hasara hii maccm wasivyo na huruma na watz hawaioni.....
Kongamano la Jumamosi ijayo tarehe 2 August Ubungo plaza juu ya muafaka wa kuendelea kwa bunge la katiba august 5 Chini ya Jenerali ulimwengu,wakulima,wasomi.
Wanasiasa wakae pembeni kidogo, Ni...
Nimekuwa nikijiuliza maswali mengi na kutaka kujua wajibu mahsusi wa bunge la katiba baada ya UKAWA kutoka bungeni! Yafuatayo ni baadhi tu ya maswali ninayojiuliza:
Maneno kurekebisha,kuboresha...
Hayo yamesemwa na Masheikh wa Mkoa wa Kigoma baada ya Swala ya Idd iliyofanyika kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Ujiji, Kigoma. Wanasema kuwa wabunge si mwamuzi wa mwisho katika mchakato wa...
Ndugu wanabodi,
Msisahau kufuatilia mdahalo wa Katiba utakaorushwa live na ITV. Watoa mada ni Prof Ibrahim Lipumba, Tundu Lissu, Ally Awadhi, na Humprey Polepole.
Pia alialikwa Steven Wassira...
Eid Mubaraka.... kwa uzoefu wangu wa hovyo.. natabiri UKAWA kurudi bungeni tena sio muda mrefu.. Tena unajua wana hamu sana ya Kurudi sema tu wako worried na kauli walizo tanguliza eti...
Zimebaki siku chache bunge la katiba lianze;kupatikana kwa katiba mpya ni mhimu sana katk maendeleo ya nchi,na katiba lazima ipatikane ili kuijenga nchi ktk misingi bora na imara kwa taifa...
jana kwenye mdahalo kuhusu upatikanaji wa katiba mpya uliorushwa na kituo cha ITV, mjumbe wa kamati kuu ya CCM Steven Wassira alitoa takwimu ambazo zinaonyesha theluthi mbili ya Zanzibar kwa ajili...
Baada ya mdahalo wa leo wasira kaonesha anajua anachokisema na amekomaa kisiasa, Lipumba kajitahd ila tundu lissu karopoka 2 mpaka akajikuta anaongea uongo.
Pamoja na yote yaliyotokea, sisi kama taifa, hasa viongozi wakuu wa taifa katika Serikali na vyama, tusishindwe kuandaa Katiba Mpya. Hatuna sababu ya msingi ya kushindwa, alisema Butiku...
Hili swali la aliyekuwa mjumbe wa tume ya katiba kutoka zanzibar ilimtoa jasho Mzee Wassira mpaka akapandwa na jazba, akabaki kulia lia na kubisha kiugumu ugumu.
Ushauri kwa CCM:
Acheni ubabe wa...
Dar es Salaam. Wakati Bunge Maalumu la Katiba linakusudia kufanyia marekebisho kanuni zake ili kuwabana wajumbe wa Bunge hilo ambao wamesusia kushiriki mchakato wa Katiba, wanasheria, wasomi na...
Wakuu, habali za asubuhi? Angalieni kipindi cha tuongee asubuhi Star TV. Naibu Waziri wa fedha Mwigulu Nchemba anatoa Ufafanuzi wa mambo mbalimbali ikiwemo Katiba Mpya. Vilevile yupo Deus Kibamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.