KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Habari nyingine kubwa ya Tanzania ni mjadala wa kurudi au kutorudi bunge la katiba kwa vyama vya Upinzani ambavyo vilijiunga na kuwa Umoja wa katiba ya Wananchi (UKAWA) kwenye mchakato wa...
0 Reactions
0 Replies
744 Views
Je mgogoro wa muundo wa kiutawala unamaslahi kwa wananchi wa hali ya chini?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni dhahili tulipofika sasa maoni ya wananchi ndani ya rasmu ya pili ya katiba yamepuzwa na ccm, wamejaribu kudanganya umma ila uongo wao wote umeshindwa kunyamazisha kilio cha watanzania maskini...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mr president amesema UKAWA wametoka bungeni kwa sababu hawajaona maslai yao thus means ccm wameyaona maslai yao ndio maana wanang'ang'ania serikal mbili. Kazi ipo
0 Reactions
6 Replies
1K Views
UKawa warudi kwa sababu chama tawala wataaandika katiba bila nyinyi...mwisho wa siku watadhindwa kututetea wananchi mfano hawa ukawa Unasemaje kuhusu mbunge kugombea awamu 3 tu. Rais kupungiziwa...
0 Reactions
2 Replies
811 Views
Msomi Buberwa Kaiza ametoa ushauri kwa CCM kuwa waache kutuma watu(kina Makamba) katika vikao vya maridhiano,badala yake wajitokeze wanaowatuma ili kuweka mambo sawa.Msomi huyo ametanabaisha kuwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hii hapa kutoka kwa Kijana wa urais Makambs huyu nae kwa kiherehere? msambaa at its best
0 Reactions
7 Replies
981 Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI, DAR ES SALAAM, ALHAMISI, 31 JULAI 2014 SAA 5.00ASUBUHI TAMKO LA UKAWA KUHUSU WITO WA VIONGOZI WA DINI WA KURUDI BUNGENI Ndugu waandishi wa habari, Kama...
34 Reactions
204 Replies
20K Views
Asema kumtukana Warioba ni kukosa adabu Asema bila UKAWA ni ndoto kupata Katiba Pinda, Balozi Seif wawaangukia warudi bungeni MWANASIASA mkongwe na Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Kingunge...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Kesho kutakuwa na mdahalo kuhusiana na Mchakato wa katiba Mpya utakaorushwa moja kwa moja na ITV/REDIO ONE kesho Jumamosi katika ukumbi wa Ubungo Plaza watoa mada wakiwa ni Jenerali Ulimwengu na...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Tune ITV upate elimu sio kukaa kinapeccnyemu.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
TBC kuanzia tarehe tano agasti. A must watch.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu salaam, Nimetoka jukwaa la Katiba katika uzi ambao uko Sticky ukihusiana na kura ya maoni kuhusu muungano tuutakao. Pale kuna mapendekezo ya serikali 1/2/3 na wale wasiojua ni nini...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
25(1) Bunge Maalum litakuwa na Mamlaka ya kudajili na kupitisha masharti ya katiba inayopendekezwa kutunga masharti ya mpito na masharti yatokanayo kama Bunge Maalum litakavyoona inafaa...
0 Reactions
1 Replies
903 Views
Ndugu zangu watanzania napenda kushirikisha hili.Kwa kuwa tumekuwa na pande mbili zinazofutana kuhusu serikali mbili au tatu lakini pande hizi kila upande una sababu za msingi iwapo zinazidiana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Najiuliza maswali mengi nashindwa kupata majibu!Kwa nini mchakato wa Katiba uharakishwe wakati nchi haina dira wala muelekeo (National Philosophy) unaokubaliwa na wote?Kwa nini tunaharakisha...
0 Reactions
3 Replies
820 Views
Dar es Salaam. Kete ya mwisho ya kuamua iwapo wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) watarejea katika Bunge la Katiba au la itachezwa leo katika kikao cha maridhiano baina ya umoja huo na...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
katika mkutano unaoendelea bado hakuna maridhiano kati ya CCM na UKAWA kila upande unavutia kwake,Rais akwamue, Chanzo: Deutsche Welle
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Hii ni taarifa waliyoitoa jioni hii kuwa hawatorudi BMK. My Take; Kama hawataki kurudi na hakuna namna ya kuendelea na bunge, basi tuendelee na Katiba iliyopo, lakini Watanzania tujue pia...
1 Reactions
72 Replies
6K Views
Mjadala unaendelea hivi sasa star tv, kuhusu mustakabali wa bunge la katiba. anayeongea hivi sasa ni zitto kabwe kwamba majadiliano ya katiba yanahitaji maridhiano, kuondoa makosa yaliyofanyika...
0 Reactions
76 Replies
8K Views
Back
Top Bottom