Ni professor ibrahim haruna lipumba yupo kituo cha luninga cha itv,kipima joto kujadili bajeti ya 2014/2015 na changamoto zake.
-yupo pia bwana hezron kaaya wakidadavia mapungufu makubwa yaliyomo...
SIKUBALIANI NA UMRI WA MGOMBEA URAIS KUWA miaka 40 MIMI KAMA KIJANA.
Ukisoma ibara ya 44 ya rasimu ya pili KUHUSU VIJANA inasema "kila kijana ana haki na wajibu wa kushiriki KIKAMILIFU katika...
Kama ningekua Raisi wa jamuhuri ya muungano ninge washauri waswahili huu ni wakati muafaka kua na Serikari moja.. kwani tatizo lipo wapi? Suala la zanzibar kumezwa ni uongo kwani shinyanga ime...
Kwa mara yangu ya kwanza leo asubuhi namsikia huyu Kisandu akiongea nadni ya Star TV eti kwa kuwa vyama vinashindana hawa serikali mbili na wale Serikali tatu, basi sisi wananchi tunataka serikali...
Sylvanus Mataro...
Jamani kwa tusiojua hamna katiba bila ushiriki wa vyama vya siasa....Tusaidiane kuwaambia wenzetu kua UKAWA SI KAKIKUNDI KADOGO kama wanavoelewa wengi wetu....never! Hapa...
Mnazungumza umoja...ila roho zenu zina u mbili....fikra zenye Tamaa na ulafi...ubishi...msiwe waoga wa kufikiria...Tengenezeni Katiba yenu!! yenye mambo yenu...yenye ubunifu wenu...utamaduni...
Written by amini 04/12/2011
Mohammed Khamid Hamad ni mwanasheria kutoka afisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar akitoa mada juu ya uhusiano katiba ya Zanzibar na katiba ya Muungano
UHUSIANO...
hii ndio ilikuwa vision ya viongozi wetu waasisi wa muungano, anadai hii ndio serikali itakayokuwa na gharama ndogo.
muungano utakuwa imara zaidi: amesema mwana ccm bungeni - mhe mtutula...
Wadau, ni matumaini yangu kuwa hamjambo na Mwenyezi Mungu amewaamsha mkiwa salama. Kwa wale wagonjwa tuwaombee kwa Mwenyezi Mungu awajaalie wapone mapema. Kwa wale waliofikwa na mauti, tuwaombee...
Wadau ifike wakati tudai kipengele ndani ya katiba mpya ambacho kitaitaka serikali itakayokuwa madarakani kutumia chini ya letsay 41%ya makusanyo ya ndani kwa matumizi ya serikali na 60%kwa miradi...
Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) kimetangaza kuwa kitaandaa mkutano wa faragha kwa viongozi wa vyama vya siasa vyenye wabunge na kuwaalika watu mashuhuri ili kutafakari hali na mwenendo wa...
Ameyasema hayo wakati wa mkutano wa hadhara wa ccm huko znz,mzee huyo amesema serikali 2 zitalinda amani,swali amefanya utafiti gani na lini kugundua hilo?no research no right to speak
Hayo aliyasema baada ya kuulizwa swali na Mwananchi mmoja. kwa nini wabunge wa ccm wamekuwa mstari wa mbele kuipinga Rasimu ya katiba ambayo ni mawazo ya wananchi? JIBU: ccm hatutaki kusikia hbr...
kuna mbunge alikuwa anachangia jioni hii,ni mweusi baada ya yule kutoka zanzbr sijampata jina lake ila anadai ni watz wapi wanaotaka kura ya siri,je anaposema watz wengi anaowajua wanataka kura ya...
Wana bodi
Mchakato wa katiba mpya unaondelea ndani ya Bunge maalumu la Muungano ni HASARA KUBWA kwa Taifa...najuwa wengi mtashangaa ni kwa nini...
Mchakato wote wa Katiba Mpya ingawa una...
Ushauri wa bure kwa Wana Ukawa na mchungaji Kakobe!
1. Kakobe mwaka 1995 alitangaza Mrema ndio chaguo a Mungu na Atashinda urais Mrema akaangukia Pua -Kakobe na mrema yatonga Wakashindwa
2...
Hivi ni kweli chama tawala kimependekeza kuonda kwenye rasimu tunu za taifa, ambazo ni uwazi na uwajibikaji?na bado wanajigamba wanamuehezi mwl nyerere? Hivi ni kwanini viongozi wa chama cha...
Nadiliki kumwambia makonda kuwa hana adabu.
Makonda ni mjumbe wa bunge la katiba . Yale aliyoyaongea hapa mini GEITA no ujinga mtupu hana adabu hata kidogo. Kwa ufupi hana nidhamu hats kidogo...
Umoja wa katiba ya wananchi(UKAWA) umesababisha mjumbe wa bunge maalum la katiba ambaye pia ni katibu wa chipukizi taifa wa chama cha mapinduzi Paul Makonda kupata wakati mgumu akijaribu kufuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.