Majadiliano yalipokuwa yakiendelea Mjengoni wakati wa kipindi cha Bunge Maalumu la Katiba; wajumbe wengi waliokuwa wakiinuka kuchangia, kauli yao ya kwanza ilikuwa nikwamba NIMETUMWA NA WANANCHI...
Sasa miito inamiminwa kuelekea Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) unaoundwa na CHADEMA,CUF,NCCR-Mageuzi,NLD na DP kuutaka umoja huo urejee Bunge la Katiba mwezi ujao. Hii inafuatia UKAWA kujitoa...
Huwa nasikitishwa sana na baadhi ya viongozi wa dini kutumika kisiasa. Haya hufanyika pale kunapokuwa na viongozi wa chama tawala, sijui ni woga,rushwa au kutetea na kulinda misaada wanayopewa au...
Akihojiwa muda mfupi uliyopita na Sauti ya Ujerumani amesema CCM kudhani wanaweza kupitisha katiba peke yao ni kujidangaya maana sheria inawataka kupata theruthi mbili toka kila upande.
Amesema...
Jana ulipohutubia katika sherehe ya Askofu Ngalalikumtwa na kusema machache kuhusu Katiba mpya na UKAWA kurudi Bungeni nilikuona luningani,nikakusikiliza lakini nikashindwa kukuelewa baadhi ya...
Freeman Mbowe
Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), umekutana na Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, na kumweleza msimamo wao wa kutorejea ndani ya Bunge Maalum la Katiba hadi mapendekezo...
Dar es Salaam. Waziri Mkuu Mstaafu, Dk Salim Ahmed Salim amesema hakutarajia kusikia kauli za Rais Jakaya Kikwete alizozitoa bungeni kukosoa Rasimu Tume ya Mabadiliko ya Katiba kwa sababu walikuwa...
Habarini za sasa Great thinkers,
Watanzania wengi kutokana na kutoona umuhimu wa kupiga kura(Kuchagua viongozi) pamoja na athari za wazi zitokanazo na uzembe wa kutotumia haki yetu ya msingi ya...
WAZIRI Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye, amesema haitawezekana na haitakuwa rahisi kwa Watanzania kuwatenganisha na Tanganyika na Zanzibar kwa kuvunja Muungano bila nusu kaputi; na ikifanyika hivyo...
Nilipokuwa sekondari tulisoma na wanafunzi wasioona.Siku moja ilikuwa siku ya kugawiwa ndizi(matunda) na zikagawanywa kila mtu apate angalau moja.Hata hivyo share ya wasioona ilitengwa pembeni ili...
Ndg Wanajamvi,
Watetezi na waumini wa serikali 2 wanasema kuwa na serikali tatu kutaongeza gharama na Serikali ya Muungano haitakuwa na mapato hivyo Muungano kufa. Maswali ya kujiuliza;
1...
Namnukuu Makamu Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi Mh. Mangula alipokuwa anatoa salam za CCM kwenye mkutano kuu wa CUF.
"Nauheshimu sana UKAWA, ni kweli mkiweka nguvu ya pamoja ni vizuri kuliko...
Ni wazi mimi ni mmoja wa viongozi wengi wa bara la Afrika wanao taka umoja wa waafrika kama Mwalimu na Nkurumah walivyosema pia Kikwete alisema "tunatamani kuifikia UNITED STATES OF AFRICA" Haya...
Kwanza nitangulie kusema jambo moja CCM na UKAWA ni wale wale tu; hakuna tofauti yoyote miongoni mwao. Kila mmoja hapa ni mtetezi wa maslahi yake. Ni bahati mzuri kwa UKAWA kwamba Rasimu ya Pili...
Dar es Salaam. Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amewashauri wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) na CCM kuacha kuzunguka mikoani kufanya mikutano...
MPASUKO HUU WA BUNGE LA KATIBA, JE UTATATULIWAJE???
Hivi sasa nchi yetu ipo katika wakati wa kihistoria wa kutunga katiba mpya, ambayo watanzania walio wengi wanaisubiri kwa shauku kubwa huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.