KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Hivi Katiba Mpya Itapatikana Chini Ya Rais Kikwete Kabla Hajamariza Muda Wake? Je Itakuwa Ni Katiba Bora Iliyobeba Matakwa Ya Watanzania? Ni Nini Sababu Inayokufanya Uamini Itapatikana Muda Wa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ni baada ya kugundua yafuatayo 1. Kwa sasa zanzibar wana marais watatu wanaopewa mshahara nao ni 1/dk.mohamed shein 2/sharifu hamadi 3/seif idd Muwa makam wa rais ni kwamba upo kirais zaidi na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Umuhimu wa muungano kama upo nivyema tuuvunje na kuungana upya, kwani hata wasomi na wataalamu wa mikataba tunao, kwani sio kweli tukose katiba zanziba iwepo! tumeunganisha nini ikiwa katiba ya...
0 Reactions
1 Replies
919 Views
it is becoming increasingly difficult to tell whether the capital city of this country is Dar or Dodoma. Nilichekeshwa sana na Jenerali Ulimwengu aliposema Dodoma is just the fictional capital...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Duh..nilianza mtazama na kumsikiliza kwa makini sana huyu dada Chiku Abwayo siku alimtoa nishai Lukuvi Bungeni..Ana CV impressive ktk kufight kisiasa.Ana msimamo na hana mashauzi... Hongera sana...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
CCM wameshangaza sana..eti sasa wanaita watu makundi na wengine waende kushangilia na kupongeza hotuba ya JK Bungeni. HOtuba iliyo yenye makosa kikatiba kwani kilichotakiwa fika Bungeni ni nawazo...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Madai ya CCM ni km hawajui wapo ktk mchakato wa katiba..na huu ndio muda wa kufanya mambo yawezekane..ni muda wa kuweka yote vyema.badala yake wapo busy kuelezea hofu yao , ya kwenda mbele...hofu...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Mnaposema UKAWA ni umoja wa wananchi wa kudai katiba mpya ni wananchi gani? Wapi mlipata hiyo ridhaa ya wananchi?
0 Reactions
18 Replies
2K Views
"Muungano wa sasa wa serikali 2 ulikuwa kama mtu mgonjwa na dalili za ugonjwa Isymptoms) zikiwa ni zile kero ambazo haziishi daima dumu. Hivyo Tume ya Warioba ilikuwa kama Daktari aliyeletewa huyo...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
UKAWA wapo upande wa "kuume" unaoungwa mkono na wanasheria nguli. Wanaheshimu maoni ya wananchi kama yalivyoletwa na tume ya kuandaa katiba.Hali kadhalika wanaunga mkono rasimu iliyosainiwa na...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Vikao vya Bunge la Katiba vinatarajiwa kuanza tena Agosti mwaka huu baada ya kusimama kwa muda kupisha Bunge la Bajeti linaloendelea mjini Dodoma. Hata hivyo vikao hivyo vinatarajiwa kuanza huku...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Leo 07.06.2014 kunatarajiwa kufanyika mkutano mkubwa wa UKAWA katika viwanja vya Sokoine Igunga, lengo ikiwa kuwapatia wana Igunga elimu mahususi juu ya Katiba Mpya pamoja na mambo kadhaa...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Ningepewa nafasi ya kuongeza kipengele kwenye katiba mpya ningeongeza kipengele cha kinachoweza kuongeza muda wa uongozi kwa rais anayewaletea wananchi maendeleo kwa kasi.Utaratibu huu wa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
KUNA MASWALI MENGI AMBAYO NIMEKUWA NIKIJIULIZA KUHUSU UKAWA. 1. UKAWA NI NINI? JAWABU nikapata.... ni UMOJA WA KATIBA WA WANANCHI. Maswali mengine yakazuka. 2. Ukawa ulipangwa kuanzishwa au...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Ndugu wadau nimejaribu pitia sura ya tisa ya rasimu ya katiba mpya inayozungumzia Bunge, katika aina za wabunge AG hajatajwa mahali popote lakini katika sehemu ya sita panapozungumzia Tume ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu, Mimi Gamba Sugu, naamini katika uwazi na uwajibikaji ndani ya Taasisi mbalimbali kama vile vyama vya Siasa na hata Serikali kwa ujumla. Nasema haya kwa sababu, Serikali hii ya magamba...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Maoni haya ya wananchi yaweza boreshwa kwa kusema kuwa serikali tatu inaweza pita alimradi imepigiwa kura na theluthi mbili ya wananchi....na sio kuleta swala la serikali mbili ktk rasimu ambayo...
0 Reactions
1 Replies
908 Views
RASIMU YA PILI NA MGONGANO WA MASLAHI IBARA YA 18(5) ITASAIDIA PIA KUPUNGUZA TATIZO LA AJIRA NCHINI. Inasema KIONGOZI WA UMMA HATARUHUSIWA KUSHIKA NAFASI ZA MADARAKA ZAIDI YA MOJA AU...
0 Reactions
0 Replies
950 Views
MJADALA kuhusu muundo wa Muungano ndani na nje ya Bunge Maalumu la Katiba umeingia katika hatua ya ovyo na unaelekea kupoteza mwelekeo. Mambo mawili makubwa yanaelekea kuharibu mjadala huu na...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Ni kauli ya mbunge wa Nyamagana na Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha ya UKAWA, kuwa kamwe hawatarudi BMK kama hawatabembelezwa. Swali, nani awabembeleze? Wananchi, serikali, wabunge wa ccm, kiongozi...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Back
Top Bottom