KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Mheshimiwa Zitto Kabwe aliyasema hayo jana huko London wakati akihojiwa na BBC, kuwa hivi sasa Kenya imetingwa na imejikuta inatumia fedha karibu zote za makusanyo yake kuhudumia mishahara ya...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Nampongeza Mzee wetu Warioba kwa kuwa mkweli. Je, Le Mutuz, Napena MwanaDiwani et. al. mna la kuongeza? Endelea Dar es Salaam. Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hiii ni Audio ya warioba alivyokuwa akihojiwa ITV,,,,,,,sorry for wrong heading,,, https://soundcloud.com/mswahili-flani/sikiliza-mahojiano-ya-dakika-45-ya-itv-na-jaji-warioba
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Bofya picha umsikilize nii warioba kazungumza ndani ya ITV
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Wajumbe wake hawakuteuliwa kwa kigezo cha utaalam na uwezo wao katika kuchambua mambo ya katiba bali kwa uwakilishi wao wa makundi mbalimbali katika jamii ya watanzania. Kuna wakulima, wavuvi...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Jaji Warioba alisema mipango mingi ya maendeleo inayopangwa ndani ya Bunge la Muungano inatekelezwa upande wa Bara pekee. Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Hadi sasa uwanja umejaa sana hapa uwanja wa kibanda Maiti.kwa maelezo ya wajumbe wa ccm na washirika wao walidai Zanzibar wanataka serikali Mbili na ukawa hawawezi kupata watu huko lakini si kweli...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Katika bunge la katiba tumeshuhudia mambo ya ajabu ajabu, na Mungu hamfichi mnafiki hataaa! Je kwa nyie washuhudiaji wa bunge hilo, nani haswaa anaweza kuwa kwenye kundi la watumishi wa Mungu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kumekuwa na hoja nyingi zikitolewa haswa na wajumbe toka mlengo wa CCM kuwa Tundu Lisu aliwatukana ''matusi'' waasisi wa muungano! Kwa bahati nzuri asilimia kubwa ya waTanzania tulikuwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wadau, amani iwe kwenu leo wakati tukijiandaa kuahirisha bunge letu Maalum hadi hapo Agosti 2014. Wadau, kwa wale wanaofuatilia habari za kitaifa kupitia magazeti, Runinga na Radio, tangu juzi...
1 Reactions
44 Replies
6K Views
Mh. Wassira amekuwa tishio hasa kwa UKAWA baada ya kuweka wazi mambo yao juu ya wafadhili wanaowafadhili hasa kutoka mataifa ya ughaibuni ili kukwamisha au kuchelewesha mchakato wa katiba mpya kwa...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
wana jamvi kuna mdau amenirushia ratiba ya ukawa mikutano na maandano nchi nzima kuanzia tarehe april 30-mei 4 kama ifuatavyo; dr slaa,mtatiro na prof safari watakua dodoma na pwani;maalim seif...
5 Reactions
82 Replies
9K Views
Jaji Joseph Sinde Warioba, amekuwa adui namba moja wa rais, viongozi wa CCM na serikali kutokana na tume aliyoingoza ya kukusanya maoni ya wananchi kuhusu katiba mpya kuleta maoni halisi na ya...
8 Reactions
17 Replies
2K Views
Siku moja baada ya vyama vya upinzani vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kutangaza kusimamisha mgombea mmoja katika nafasi ya urais na ubunge majimboni, CCM kimebeza hatua hiyo...
0 Reactions
48 Replies
7K Views
WanaJf nianze kwa kusema two wrongs don't make right lakini vile vile hakuna kitu kibaya katika siasa kama kuwa na wanasiasa WANAFIKI. UKAWA acheni kudanganya wanachi, kama mna ajenda zingine za...
1 Reactions
147 Replies
14K Views
KILA TENDO LINA MAANA YAKE: malombano yanayotokea nchini sasa yameanza kupevuka na kesho yatavunja ungo. KIKWETE UNAONA?
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Wana JF, kuna watu tumeshiriki ktk kutafuta wawakilishi wetu kwenye Bunge la Katiba. kwa sasa bunge limeahilishwa na baadhi yetu tuna hamu ya kutaka kujua juu ya utendaji wa wajumbe tuliowatuma...
0 Reactions
0 Replies
869 Views
Wasomaji mnaosoma hapa mtakumbuka kuhusu simulizi katika kitabu kimojawapo katika biblia kiitwacho matendo ya mitume,hasa kinachomtaja mtawala mmoja wa roma wakati huo kaisari Nero watawala wa...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Ule mkutano PoliCCM waliouzuia mpaka tarehe 30 Kibandamaiti bado upo? Sijasikia taarifa zozote mpaka. Au kuna taarifa zimenibypass?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wanasiasa wetu hawaishi kuoteshwa na mara nyingi wana bahati ya kuoteshwa ndoto ambazo zinawahakikishia kubakia madarakani kwa nguvu zote. Lukuvi ameoteshwa kuwa kutatokea mapinduzi ya kijeshi...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom