Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Kwa wafanyabiashara wa simu na Maduka makubwa walio interested kutangaziwa biashara zao na mimi, kwa makubaliano tunaweza kuwasiliana na kujuzana zaidi juu ya hi deal.. KUMBUKA BIASHARA NI MATANGAZO
0 Reactions
0 Replies
812 Views
Nna perfumes za kike na kiume nzuri kwa bei rahisi anaehitaji atume namba nimcheck asante
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Niliweka tangazo langu hapa lakinh gari nyingi nina zoletewa sijakubaliana nazo. Hivo naongeza dau mil 5 nipe sport car like celica, Nakuendelea lakin napendelea sana gari manual. Tuma picha...
0 Reactions
3 Replies
995 Views
Habari zenu.! Nahitaji gari dogo lolote hasahasa starlet or vitz au gari ambalo halina buti I mean sio kama carina or gx100 nadhan mmeelewa.! Thanks
0 Reactions
12 Replies
2K Views
vioo vya nyumba bei nafuuuu haija wahijawahi tokea!!!!!!!! vioo vya nyumba bei nafuu haija wahi tokea 6mm 5.5*7ft inauzwa 65000 zimebaki...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
nahitaji motherboard ya hiyo kitu if unayo plz plz nichek kwa 0763969066. Simu ilijiformat mejaribu every means necessary imeshindikana.
0 Reactions
0 Replies
928 Views
hello members, nahitaji motherboard ya huawei impulse 4g.Kwa aliye nayo tafadhali nitafute kwa namba hii 0763969066
0 Reactions
0 Replies
626 Views
lipo kibaha kwa mfipa km 3 kutoka barabara ya kwenda morogoro ukipanda bodaboda kutoka stend kwa mfipa mpaka shambani nauli ni 1,500/= tu kumbuka bei ni 2m haipungui na siitaj dalali nichek kwa...
1 Reactions
0 Replies
887 Views
habarini wanajamvi, Nina Mahindi yangu nililima Morogoro na mengine nimeongezea hukuhuku kwa wakulima hivyo nimefikisha gunia 500,naomba kujua bei yake Kariakoo au mwenye shauri niuze wapi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kiwanja kinauzwa kipo barabara ya kuelekea chanika karibu na kituo cha italian kipo barabarani ukubwa wa 50/25 mawasiliano ni: 0713-343531.
0 Reactions
0 Replies
970 Views
Kwa wale wanao hitaji external trascend na toshiba ninazo mpya bei ni nzuri karibuni
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Hizi ni apartment ambazo zinajengwa Msasani, kwa kuangalia ramani ya nyumba iliyobandikwa kwenye tovuti yao inaonyesha kuwa ni bedroom moja tu yenye shower, vyumba viwili vina choo tu na kuna choo...
0 Reactions
1 Replies
12K Views
Mm ni artist wa kizaz kipya {bongo fleva} ninae wakilisha Mkoa wa Rukwa. Mkoa wetu bado hauna star nina nyimbo 21 kali na za maana na sokoni ziko 16 na video 3. Sijafanya promo popote zaidi ya...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Mimi ni kijana niliejiriwa. Tena ni mjasiriamali. Mwezi Wa kwanza nilianza process za kulima Kabechi hadi kufika Sasa zimekomaa shambani sina mnunuzi. Nina eneo la ekari moja hapa Mbeya eneo la...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Toshiba laptop satellite pro with webcam for sale .Tsh 320000.00 call 0712652110
0 Reactions
3 Replies
750 Views
Kwa mwenye uhitaji napatikana kwa namba 0752718685, nipo Mbeya!! Mpesa 150,000 Airtelmoney 120,000
0 Reactions
2 Replies
1K Views
simu inauzwa, ni huawei Y210.. kwa mawasiliano zaidi 0656025499.
0 Reactions
4 Replies
987 Views
Dell 5040 Ram ni 4 gb Hard disk ni 500 dvd writer, Wireless, screen 15.6 inch web calm Price ni 510000 Processor ni 2.1Ghz, 2.1Ghz Dual core ... Nicheki kwa 0764361843
0 Reactions
7 Replies
1K Views
simu iko vizuri, kwa mwenye kuhitaji tuwasiliane 0658105387
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Iko mitaa ua Usagara jijini Mwanza,vyumba viwili sebule vyoo na jiko,mwenye kuhitaji ani pm.ni mali yangu mwenyewe
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom