Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
mawe yapo yakutosha. wasiliana nami kupitia namba hii. 0755050994
0 Reactions
1 Replies
917 Views
Napatikana maeneo ya Mbezi ya Kimara, mbwa kapatiwa chanjo zote ni Dume. Kwa mawasiliano 0756 926 551. Bei ya mbwa ni Sh. 500,000/=
0 Reactions
1 Replies
912 Views
Nauza turubai kubwa pamoja na chuma zake kwa sh.1200,000/= rangi nyeupe lenye uwezo wa kutosha viti 100 na imara kabisa,pia nauza viti 100 @ 10,000 ni viti imara kabisa na bado vipya.Kwa mteja...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mwenye hyo simu iwe nyeupe... Anichek 0767879784 tufanye business.
0 Reactions
0 Replies
640 Views
Ni standard sana full gypsum board with sliding alluminium windows text or call me 0715-140001 bei 50,000 kwa sebule na chumba unalipia miez 3 tsh 150,000
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauza tv hiyo, imetumika miezi 6, haina tatizo lolote. Bado iko na warranty ya samsung miez 18. Kama uko interested check me at 0717301520
0 Reactions
6 Replies
2K Views
naitaji ufuta wa kutosha tu gunia nyingi .nanunua kwa kilo 2700 ,kama unao nipm tufanye biashara
0 Reactions
16 Replies
2K Views
naitaji ufuta wa kutosha tu gunia nyingi .nanunua kwa kilo 2700 ,kama unao nipm tufanye biashara
0 Reactions
5 Replies
1K Views
kama unae simu hiyo simu ni pm nina 50
0 Reactions
3 Replies
892 Views
Habarini wadau! Mashine mbili za kukamulia juice ya miwa zinauzwa. Moja inatumia umeme na nyingine ya kusukuma kwa mkono. Zinauzwa kwa pamoja 1.5M bila kupungua wala kuzidi hata senti moja. Ziko...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habarini wadau! Mashine mbili za kukamulia juice ya miwa zinauzwa. Moja inatumia umeme na nyingine ya kusukuma kwa mkono. Zinauzwa kwa pamoja 1.5M bila kupungua wala kuzidi hata senti moja. Ziko...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari Wadau. Nauza chumba kimoja chenye full tiles na choo ndani. Kodi ni 100000 kwa mwezi nmekilipia miezi mitatu hivyo nirudishie 200000/- ya miezi miwili, wa nane na tisa. Ukilinilipa wiki...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habar nyumba inauzwa maeneo ya Kampala International Univarsity (gongolamboto) ina viiumba 8... Angalizo n mjengo wa kizaman marekebisho yapo.... Ni pm tuongee
0 Reactions
0 Replies
929 Views
Habar ...kuna nyumba ipo Kampala international Univarsity(gongola mboto)inauzwa...Ina viumba 8 ....Uwanja wa kutosha... Angalizo ni mjengo wa kizaman...marekebisho yapo..... bei maelewano...n pm...
0 Reactions
0 Replies
900 Views
Jipatie website iliyotengenezwa kitalaamu kwa ajili ya kampuni yako kwa bei nafuu kabisa. Piga namba +255765531495, +255718152922 kwa maelewano
0 Reactions
2 Replies
1K Views
mwenye nayo anisms kwny 0715-140001 tuelewane.
0 Reactions
0 Replies
845 Views
Kwa wote wanaotaka shamba kwa ajili ya kilimo cha miti au mazao tofauti.. Ninauza shamba la ekari 589, *Mto usiokauka umepita katikati ya shamba, *Barabara nzuri mpaka shambani pia km 50 kutoka...
0 Reactions
0 Replies
845 Views
Ajo Smart phone inaingiza apps zote kama Whatsupp, Viber, Facebook, youtube, messenger na nyingine zote Kwa bei ya 140000 Tsh/= tuu!! nicheki kwa 0764361843 pia inarun 3g, 2g, na 4g
0 Reactions
0 Replies
964 Views
Mwenye power supply gx 620 ya dell model n2757-oo. Aniuzie. 0767409355
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tuna kodisha vyuma za kujengea magolofa kwa mawasiliano 0715657077
0 Reactions
1 Replies
888 Views
Back
Top Bottom