Niliweka tangazo langu apa lakin gari nyingi nazoletewa sijakubaliana nazo,ivo naongeza dau mil 5 nipe sport car like celica,nakuendelea lakin napendelea sana gari manual,,tuma picha whatasapp...
Vinauzwa mita 22x20 million 4.5, mita 22x27 million 6 viko 1km kutoka barabara ya morogoro
Umeme upo,na maji.
Kwa taarifa zaidi piga 0715055577/0769055577
Nauza Ardhi Eka5, Lipo Km 15 Toka Manispaa Ya Mtwara Mikindani Mji Unaokua Kwa Kasi Ya Ajabu Ya Kiuchumi Kutokana Na Rasilimali Gesi, Na Matumizi Ya Bandari, Eneo Lipo Kata Ya Mbawala Barabara Kuu...
Naomba kujuzwa kuhusu ununuzi wa magari yaliyoko yard hapa dar! mfano
model:spacio y.o.m 2003 C&F 3900. Je unapaswa kulipa gharama zipi ili kukamilisha ununuzi zikiwemo na usajili? Nawasilisha!
.
Tunauza maboksi makubwa ya mbao yenye handles imara, haya yalikuja yakiwa na pikipiki ndani toka japan, hivyo ni fumigated na imara kabisa kwa matumizi mbali mbali.
Bei ni 10,000/- kwa moja. Bei...
Nauza machine ya Selcom kwa tsh 700,000 baada ya biashara yangu kuwa ngumu nimeamua kuuza vifaa vyangu ikiwepo hii machine, kwa atakayeitaji Ni PM tafadhali
Salaam.
Nyumba ya vyumba 3, sitting, dining, vyoo ndani na stoo bado haijaezekwa, nauza kwa shs milioni 18 tu. Iko ktk kiwanja cha 70*63. Mita kama 200 toka main road, nguzo ya umeme ipo mita...
Ninahitaji chumba maeneo ya kuanzia ubungo hadi kimara au njia ya tegeta kuanzia tangi bovu mpaka tegeta. Asanteni nahitaji kuhamia mwanzo wa mwezi wa nane kama itawezekana
Iko katika hali nzuri sana in hizi wanaita copy au clone mtaani wanaziita mchina japo ni made in Korea , Lila kit sawa na original kasoro quality ya camera na memory
Kichwa cha habari cha husika, iwe bado mpya,i siwe na tatizo lolote wala mechanical damage ya aina yoyote.
Naomba kuwasilisha tafadhali. Whatsapp 0756402348
Kama una bidhaa hii (Cashew Nutshell Liquid) basi naomba uniandike kwenye email yangu hapo chini.
Nipe bei yako na Specification ya hiyo liquid kwani kuna jamaa kasema anaweza kuitafutia soko la...
Aina za simu zilizopo,
1. Blackberry Z10
2. Blackberry bold Q5
3. Samsung S3
4. Samsung Y (Young)
5. Sony Xperia E
6. Blackberry bold 9780
7. Blackberry 9000
8. Camera Nikon.
zikiwa na kila...
Ninahitaji aina ya
1 LG SMARTPHONE
2 HTC MYTOUCH 4G SLIDE HD WIFI GPS 8MP 4GB ANDROID
3. IPHONE
ISIWE USED BALI IWE BRAND NEW JAMANI NINA SHIDA SANA NAYO NAWEZA NUNUA WAPI
AU NIITAIPATAJE...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.