Wakuu, heshima kwenu.
Ninahitaji marine boards na mbao kwa ajili ya ujenzi slab.
Iwapo unauza au unamfahamu mtu anayeuza materials hizo zilizotumika tafadhali nijulishe kupitia kwenye...
Habari Wadau.
Nauza chumba kimoja
chenye full tiles na choo
ndani. Kodi ni 100000 kwa
mwezi nmekilipia miezi
mitatu hivyo nirudishie
200000/- ya miezi miwili, wa
nane na tisa. Ukilinilipa wiki
hii...
Habari zenu wana jf
Nina idea kubwa sana ya kuleta change
Nataka ninaanze kuuza gadgets kama smartphones,laptops na game consoles na game discs kwa mtaji wa 10 millions wapi naweza pata hizo...
-Romeo & Julieth ndio brand ya hizi Cigar ambayo ilianzishwa miaka 130 iliopita yani 1875 huko Dominican Republic, kabla ya makao makuu yake kuhamishiwa nchini CUBA
-Ni sigara ambayo...
We assist students from Tanzania and other African countries with FREE university admissions in the best affordable and accredited UK universities. No application fee will be charged. Contact us...
Price 7.5
Car-Automatic
Engine VVTI-1299
Manf. Year 1999
Mahali ilipo Arusha
Ina miezi 6 tangu imeingia TZ na imesafiri safari moja tu ya kuitoa Dar kwenda Arusha
Mawsiliano ni PM au piga...
wakuu natafuta tyre za gari size 14 gari aina za saloon cars especially toyota camry, naomba kujua bei zikiwa mpya kwa zile za japani na china. nb. nipo mwanza
Desktop Dell (full set) used inauzwa pentium 4, 512 ram, hard disk 40GB, processor 2.8GHZ, mlango wa DVD. Bei ni 160k. unaweza nicheki kupitia 0752490238. picha nitaweka.
Nauza nyumba ipo Area D ina vyumba vitatu vya kulala sebule jiko choo bagu na stoo ina nafasi mbele na nyumba unaweza kuongeza chochote mwenye kuhitaji ani Pm.
Ninauza Toyota Vitz Ina Sifa Zifuatazo..
1.Make...Toyota
2.Colour...Golden
3.Year of Manufacture..2003
4.Seating Capacity..5
5.Engine Capacity..1297
PRICE..TSH 6MIL....
Gari iko Maeneo ya...
Huawei ascending Y300 used zinauzwa zipo mbili zimetumika miezi miwili tu nauza
kila moja sh 170000..(maelewamo yapo) CHARGE+COVER Pm au contact: 0718776676
wakuu habari.... tuna tractor mpya kwa bei poa sana hasa massay fergurson za aina zote mfano mf 385 4wd hp 85.... kwa maelezo na maelekezo tulipo tutafute 0713774746
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.