Ni aina ya Compaq CO57. RAM 2GB, Processor 2.20GHz na HHD 297GB.
Rangi Nyeusi, Betri masaa 2.5 kama ni matumizi ya movies na games or video.
Kwa matumizi ya kawaida ni masaa 3.
Bei ni...
POWER BANKS FOR SALE!!
PRODUCT FEATURES:
v Portable, Affordable, User friendly, Reliable battery ensures high quality
v Operable for all brands: suitable for mobile Nokia, Motorola, HTC, Samsung...
Nyumba Inauzwa ipo Pugu Kichangani mita 800 toka bara bara kuu ya Nyerere .Ukifika Kajiungeni njia panda ya Kisarawe na Chanika toka hapo ni mita 800 upande wa kulia.BEI NI 65 Milioni maelewano...
Habari wana JF,Mwenye information juu ya sehemu ambayo naweza kununua material za kutengenezea sabuni kwa bei nzuri jijini dar es salaam.Materials kama SLESS,Ufucid,Caustic Soda and...
samahani wana ndugu naomba mnisaidie nahitaji smartphone ya kias tajwa hapo juu ya android yenye specifications:
camera:atleast 5mp
latest version jellybean
RAM atleast...
Vyumba 3,chumba na choo chake,sebule,chumba,chumba cha nje vyote laki2 kwa mwezi nyumba ipo ndani ya ukuta barabarani. 0766786620 karibuni
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Habarini wadau.., naomba msaada kwa kujuzwa gharama za kutoa hii gari pale bandarini dar es salaam:
Make:Toyota
Model: Mark II Blit
Manf: 2007/3
Cc: 2590
CIF: USD 1850
Chassis#: JZX 110-0022307
Entrepreneurs in the following sectors applies! .....
Education
Tourism companies
Non-governmental organizations (NGOS)
Entrepreneurs in the following sectors applies! ...
Ni industrial machines( za kutumia umeme)
kama juki, sostar,kansai ,unicorn, siruba na oshima
single needle mannual and automatic
overlock machine 5thread
overlock machine 3thread
double needle...
shamba liko Bagamoyo.unaingilia shule ya baobab.kama km2 toka barabarani
ni heka 8
:linakisima kilichochimbwa na machine kwajili ya umwagiliaji
:mabanda yaufugaji
:nyumba ya mlinzi n.k
bei...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.