Power bank hizi kwa smartphone ya kawaida inaweza chaji mara tatu,ni slim in shape,ina pin za simu aina zote bei ni sh 35,000 tu niko dar
Mawasiliano ni 0713228915 na 0784228915
Sent from my...
Bei TSh. 4,500,000/=
Piga simu 0715 505171 kwa mazungumzo.
Mahali ilipo gari ni Tabata, kikazi napatikana Posta mpya Jengo la CRDB Azikiwe Branch waweza fika hapo tuonane na kupanga kwa...
Shamba la ukubwa wa ekari 200 linauzwa lipo mugumu serengeti linapakana na hifadh ya serengeti.eneo hilo inafaa kwa ujenzi wa hotel ya kitalii shule napia hata kwa kulima pia
jamani naombeni ushauri.
nina biashara yangu ya stationery hapa dar es salaam imesajiriwa na lesini ya biashara ninayo.
sasa nataka kuchukua mkopo bank kiasi cha 5-7 million ili ni kuze biashara...
Ni salon Ya kisasa nzuri ipo maeneo ya Ubungo Maziwa Opposite na Hotel Mpya Ya Moveck...
Scrab
Hair cutting
mask
wave
super black
Vyote vinafanyikaa Hapo..
Full Ubaridi wa AC..Karibuni...
HELLO MEMBERS IN JF,
On behalf of NETPROZONE ICT COMPANY, have this good news:
NETPROZONE ICT COMPANY, is an upcoming firm which bring together various ICT professionals who have been practicing...
Habari wandugu,
kwa mdau yeyote ambae ana information ya wapi naweza kupata mashine ya kutotolesha vifaranga(inkubeta)
naomba anijuze, napendelea zaidi za mitumba.
Wakuu,
Nina mama yangu mdogo anahitaji mkopo wa milioni 6 kwa haraka kwa mtu binafsi au kwa taasisi yeyote na atakuachia nyumba yake yenye vyumba vinne na sebule pia ina uwanja wa kutosha...
Hello Great Thinkers,
Napenda kuwaataharifu wale wanaopenda Network Marketing( Biashara ya Mtandao)kwamba kuna fursa mpya kabisa ya kufanya biashara hii imeanza mwezi wa Sita, hapa tanzania...
za kwenu wakuu
kama heading inavyojieleza hapo juu
nahitaji mashine ya kufulia used,isiwe na tatizo
lakini pia nahitaji digital t shirt printing mashine sio lazima used hata mpya sio mbaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.