Habari zenu wadau. Nahitaji kununua gari, na Katika Uchunguzi wangu nimeweza kushortlist gari tatu ambazo ni Toyota CAMI, Vitz na Suzuki Swift sababu kuu ya kushortlist ni kwamba zote zinalingana...
Habari
gani wakuu? Natumaini mnaendelea vyema. Vifuatavyo ni vyumba na nyumba
vinavyopangishwa Kigamboni. Viko sehemu nzuri, hakujai maji, ni km 3
mpaka 4 kutoka ferry, maji na umeme vipo...
kwa wale wenye kusumbuliwa na computer zao hardware and softwre inshu mm natibu na kama waitaji kutengenezewa website,blog na networking LAN cable iwe ofisi au internet cafe mm nafanya kazi hzo...
Habari wana jamvi. Fundi makochi anahitajika kama kuna yeyote mwenye namba za fundi ani-inbox tafadhali. Akiwa maeneo ya Temeke itakua vizuri zaidi. Asanteni.
Tunafanya Aluminium na Glass work,pia tunasupply na kufix mapazia ya maofisini(venetian na vertical blinds.)
Vilevile tunafanya office partitions,office design,tunafix ceiling za aina...
Morning JF. Nataka kununua hii suzuki kei kupitia beforward naomba ambaye ana hii gari anipe matatizo yake na upatikanaji wa spare. Mafuta ina cc650 km98000mwaka 2001 cif 1985 $ hapo kuna...
An almost new four bed room house (one master bed room), store, kitchen, spacious sitting room and a common toilet and bathroom is available for renting at Gangilonga Prime Area Iringa. There are...
salaam wadau.
Wataalam wa bei za magari na wajanja wote wa mjini hebu nipeni bei hata kama sio fixed lakini makadirio. Nahitaji pickup nzuri tone 1 (tani moja) kwa show room za Dar es salaam ni...
Natafuta nokia za zamani zile n series au e series, inatakiwa iwe na kioo kirefu kuliko upana 240x320. Kwa mwenye nayo tuongee biashara. Nipo intererested zaidi na c5, n79, n86
pia kama...
Lav 4 inauzwa ipo katika hari nzuri (haina tatizo lolote)
MODEL : RAV 4
BODY TYPE: STATION WAGON
COLOUR: SILVER
ENGINE CAPACITY: 1990
FUEL: PETROL
FROM: JAPAN
MANUFACTURE: 2003.
INA KILAKITU...
PLEASE LET TRUSTED- RESEARCH & CONSULTING MANAGE YOUR NEXT MARKET RESEARCH FIELD WORK PROJECT IN EASTERN & CENTRAL AFRICA: TRUSTED- Research & Consulting is a full service market research field...
Kupitia LEGIT ONLINE JOBS unaweza kuongeza kipato chako kwa kutumia akili yako na mikono yako tuu, basi tumia akili yako na hiyo mikono yako kuongeza kipato chako,SIO LAZIMA UKITAKA FANYA USIPO...
Habari zenu wakubwa Plot inauzwa pugu buyuni, kimepimwa kina hati na documents zote za wizarani, ukubwa ni sqm 1886
bei 35million, price can be negotiated too.
Dalali haitajiki.
kama utahitaji, ni pm
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.