Nahitaji kujua kwa mtu yeyote anae fahamiana na moja wapo kati ya watendaji wa TAMISEMI wanao husika na uhamisho wa watumishi wa UMMA anipm ili tuongee
Kiwanja kinauzwa Tegeta A,
Ukubwa 30 x 20,
Mahali pazuri (Neighbourhood),
Unaingilia Mbezi mwisho unakata kulia,
Bei 5mil (Maongezi yapo),
Dalali hatakiwi,
Imetembe 123,000, haijatembea Tanzania, imetolewa Bandarini wiki iliyopita, inauzwa haraka sanaa kwa muhitaji. Bei 8,000,000 kwa maelezo zaidi mpigie huyu 0754043280 mwenye gari.
Hapo juu...
Nimeingia kwenye web ya CHEKI.co.tz nikakuta vigari vinauzwa, vingine kwa bei fulani nzuri. Naomba uhakika wa watu hawa na vitu wavavyotangaza kama siyo famba.
wadau nauza bajaji yangu jina tajwa hapo juu kwa bei chee ya shilling million 3 na laki 1 tu. namba yake ni CCU. iko poa sana haina tatizo lolote ila tu nataka kubadilisha biashara. napatikana dsm...
Samsung galaxy s4 mini mpya at 420,000….16 GB internal memory, fully boxed….( first class clone from korea)
tuwasiliane kwa namba 0715548177 kwajili ya biashara
kichwa cha habari chahusika, mwnye pickup aina ya toyota au nissan datsun nzima inayoweza tembea safari ndefu aweke details tufanye biashara. Iwe ni ya kuanzia mwaka 1995 kuja juu na iwe katika...
tunakodisha magari kwa ajiri ya sherehe mbalimbali tunakodisha magari kwa ajili ya matembezi na tunapokea tenda kama za kuwapeleka na kuwaludisha watoto wa shule kuwapeleka na kuwaludisha makazini...
Habari. Rejea kichwa cha habari hapo juu. Nyumba ipo maeneo ya survey mwenge dakika mbili kwa mguu tokea mlimani city. Sifa za nyumba ni; nyumba kubwa yenye sebule kubwa na vyumba viwili. Chumba...
I have a client who is looking to buy a second hand Toyota Prado 2005 0r 2006 local diesel 4x4 engine 1kz 3.0 turbo Manual or auto The buyer he is planning to do as much off-roading as possible...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.