Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Wadau wa jukwaa hili ninaomba kujulishwa bei ya injini/mashine ya maji baridi kuanzia horse power9.9 mpaka horse power 40 na pia maduka au agent wanao sambaza mashine hizo
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wapendwa wanajamii nimepatwa na shida ghafla ya pesa niko mkoani mwa watu, nauza simu yangu pendwa tecno M3 kwa sh, laki moja na thelathini ina miezi mitatu imetumika, nihitaji pesa kwa haraka...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Piki piki San LG inauzwa gongo la mboto, imetumika miezi 9. Bei Tsh. mil 1. .......... nimejaribu ku upload picha zake zinakataa! kama utakuwa interested niPM tuongee biashara. na kama...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Pata Smartphone aina ya Samsung Galaxy Y kwa tsh.80,000/= tu at 0689341445.....Simu ni used ina scratches pemben ya simu tu kidogo...But simu inafanya kazi vizuri tu
0 Reactions
4 Replies
2K Views
nauza simu nokia e5 iko poa kabisa nicheki kwenye 0688206680 napatikana dar
0 Reactions
0 Replies
708 Views
Nipo mwanza ninamizigo yangu ipo arusha nauliza nitawezaje kuisafirisha kuja huku mwanza? Naombeni mnisaidie wakubwa
0 Reactions
2 Replies
805 Views
Both are 2005 models Mileage: 67000km (silver), 45000km (white) Engine: 1300cc VVTi Both unregistered Price includes tranfer to your name.. Price on each: 11m (Fixed)
0 Reactions
27 Replies
4K Views
kwa anaye tafuta fundi bomba mzuri nenda chuo cha ufundi magereza Ruanda kuna Mwl wa bomba mzuri sana.muulizie kwa jina la Mwl Paul Macha au mpigie 0714441625 au 0755477149 ni mshauri mzuri sana.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wana jf ninanyumba yangu morogoro nimekamilisha kila kitu ila nimebaki kuweka dirisha 10 za feet 5by6 sasa kama kuna mtu anazo anitafute 0764992264 ili tufanye bishara bajeti yangu ni laki nane...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
kwa sh elfu 20 tu. Piga 0712923292
0 Reactions
2 Replies
895 Views
Kwa anaeuza gari hiyo au anayefahamu gharama ya kuagiza garii hii Isuzu juston Dumper 3.5 au 4.0 M3 toka japani mpaka tanzania.
0 Reactions
1 Replies
903 Views
Toshiba satellite A205 HD:200gb Ram:3gb Processor: 1.78ghz duo core Bei laki4.5 0654913364/0752953860 Ipo Dar
0 Reactions
0 Replies
648 Views
Nauza simu aina ya Samsung galaxy pocket. Bei tshs. 70000 tu.Simu ipo rooted tayari, pia imewekewa rom ya android 4.1 (jellybean) na application zingine kama whatsapp,telegram,viber, instagram...
0 Reactions
4 Replies
994 Views
We conduct review classes for ATEC I ATEC II and Foundation stage, for more information see attachement
0 Reactions
0 Replies
898 Views
We conduct review classes for ATEC I ATEC II and Foundation stage, see attachement
0 Reactions
0 Replies
752 Views
Kama kichwa kilivo hapo juu jaman yeyote mwenye mawasiliano na hyo shule tafadhali au mwenye uelewa na hyo shule anipm nipate maelezo zaid.....shule ipo tanga
0 Reactions
0 Replies
744 Views
Habari zamuda huu wanajukwaa wezangu, kichwa chahabari hapo juu chahusika, bei M4.8. Ni STARLET GLANZA V kama unahitaji nipm
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Nauza simu aina ya Samsung Galaxy Y imetumika kidogo bei yake ni tsh.95,000/= tu at 0689341445
0 Reactions
5 Replies
1K Views
mwenye nayo anipe ofa
0 Reactions
0 Replies
681 Views
you may visit our website Miono.ac.tz for more information ur warmly welcome at miono high school
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Back
Top Bottom