Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Habari wanajamii, Napenda kuwafahamisha kwamba napangisha nyumba yangu mwenyewe ya vyumba 3, iliopo ndani ya nyumba za NHC Kibada project, Kigamboni. Nyumba hii ni miongoni mwa nyumba...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nokia e71 na blackberry 8520 zinauzwa kwa tsh.180,000/= zote mbili kwa pamoja
0 Reactions
0 Replies
931 Views
Habar wana JF, Baada ya kupewa knowledge ya kutosha na professional networkers,nikaamua kuanza biashara rasmi. Kumbe sio kama tunavyofikiria kuhusu network marketing na juhudi zako ndo mafanikio...
0 Reactions
0 Replies
824 Views
wakuu nyumba inapangishwa iko nyuma ya Clouds FM Mikocheni ni USD 700 kwa Mwezi..... Ni nyumba ya Ghorofa Moja . more details Nipm
0 Reactions
5 Replies
1K Views
cpu 1ghz tower 256mb of ram, 40gb of hdd, cd drive, 17" crt monitor, keyboard, mouse, bei 100,000/= +255654412703
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nipo katika hatua za mwisho kabisa kukamilisha upimwaji wa viwanja vilivyopo kimbiji sq mita moja itakua ni sh 12000..eneo lipo karibu kabisa na barabara kubwa ya kwenda mbagala,pia umeme upo...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
wakuu nyumba inapangishwa iko nyuma ya Clouds FM Mikocheni ni USD 700 kwa Mwezi..... Ni nyumba ya Ghorofa Moja . more details Nipm
0 Reactions
0 Replies
986 Views
Ni nokia e71 give me your offer
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nauza king'amuzi cha star times full set, Decoder + Remote + Antena. Bei elfu 65 inashuka hadi elfu 60 mwisho. 0713338342
1 Reactions
1 Replies
890 Views
habari, pata Dell lcd monitor 24"ambayo unaweza itumia kwa cpu,kama TV na kuunganisha dvd player!!!kwa 280,000/= tuu. sifa zake; 24" lcd screen, speaker power, display port, hdmi, dvi-d1...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
compaq hdd 160gb ram 1gb 32 processor 0714316116 price- drop offer
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Asanteni JF kwani jiko lilipata mteja jana, katika harakati za kupunguza vitu kabla sijasafiri kuna feni nzuri nauza. bei ni 38,000 tu,maeneo ni kigamboni
0 Reactions
3 Replies
2K Views
habari jf members. Naomba kwa yeyote anayejua shule yenye ada nafuu kwa A'level bording. Nawasilisha
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wadau , kuna benz inauzwa bei 3.2 tatizo ni gear box. Vista ni 5.2 mil imetumika miez sita tu.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
ninauza aina hiyo ya laptop ni core i3 hard disc ni 500gb ram 2gb kwa bei ya shillingi 480000 kama upo interested nicall ktk namba 0712015555 au 0768786745 napatikana maeneo ya udsm hapa mlimani!!!!!
0 Reactions
0 Replies
776 Views
Kiwanja ni hekari 2 na robo bei ni maelewano,Kiko karibu kabisa na oysterbay au mahakamani ni flat kizuri kwa ujenzi wa hostels za wanafunzi wa chuo kikuu cha Mzumbe Pm kwa maelezo zaidi Sent...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
nina umatemate nilioutaja hapo juu,ninataka smartphone nzuri,iwe inatumia android au windows...pia isiwe na scratches za kutisha,isiwe na tatizo lolote..iwe ni 3G. isiwe TECNO ya haina yoyote...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom