Habari wana Jf, samahani tunapenda kuwatangazia kwamba Baabkubwa Entertainment Company tunaendelea kusambaa Tz nzima na sasa tunavuka Zanzibar pia tunawakaribisha kutangaza biashara/kampuni yako nasi.
black more
shiling 10000 kwa
pea serfin more
shiling 10000 kwa pea
orange more shiling 10000
kwa pea gapi wekundu
shiling 10000 kwa pea
gold fish
shilingi10000 kwa pea. Bei...
habari njema, wadau wahitaji wa IPHONE smartphones, natarajia kuingiza mzigo wa iphone na bidhaa nyingine toka US tarehe 12 july 2014. tayari nina iphone3GS za kutosha na offer yangu ni @ Tsh...
Guys natoa huduma ya kutengeneza logo au nembo kwa ajili ya biashara fulani,kampuni,website,event na kadhalika kwa bei nafuu kabisa tsh.30,000/= tu kwa anayehitaji logo awasiliane nami kupitia...
Kama tangazo linavyoeleza,jipatie line ya tigo pesa kwa tsh laki 8 tu,(800,000/) maelewano yapo kidogo na pia kabati linalofaa kwa matumizi ya stationery au matumizi katika duka la vipodozi kwa...
Wakuu heshima kwenu. Natafuta fremu ya kupanga kwa bei yoyote isiyozidi 100000. Mkoa Wa dar. Iwe karibu na shule zaidi ya moja eg primary and secondary. Ningependelea Kibamba njiapanda ya shule...
Hello!
G2D Fashion Collection ni wadau wapya kwenye kitengo cha mavazi na designing Tanzania! Tunadesign, kushona na kukodi nguo zote za harusi, send off, kitchen party. pia tunadesign na kushona...
Ninatoa huduma ya kuflash na kutoa lock(unlock) kwa bei rahisi sana mfano iphone ni only 30,000/= galaxy zote 30,000/= na nyingine zote original.
NOTE: IWE ORIGINAL MCHINA MTANISAMEHE
Nitafute...
Nauza sumsung galaxy tab imetumika kwa miezi 4 ipo kwenye condition nzuri yani kitu mnato afu mauzo mbaya yani kama we kijana wa mjini utakiwi kuikosa hii kitu bei laki nne piga simu 0713 340 559...
Nimeitumia kama miezi 3, nililetewa na ndugu yangu direct from America, original kabisa!
Sababu ya kuiuza ni kuwa siitumii mara kwa mara kwa sababu ni kubwa sana 10inch. Nilitaka ya 7inch lakini...
Hii ni tablet ambayo unaweza itumia
kama computer ukiiunga na
keyboard yake au ukitenganisha na
keyboard inakuwa tablet
Ina run windows 8
Ina 64gb internal memo
Haisupport 3g ni wifi au kwa...
A two (2) storey house for sale at Mbezi beach behind Art Gallery. Plot size: 1,206 square metres. It is fully fenced by concrete blocks with two entrance gates at front and rear side; there...
A two (2) storey house for sale at Mbezi beach behind Art Gallery. Plot size: 1,206 square metres. It is fully fenced by concrete blocks with two entrance gates at front and rear side; there are...
Allion iko sokoni, yom 2002, cc 1800, bei shilingi 11 millioni slightly negotiable, vibali vyote up to date, bongo imetumika mwezi mmoja tu.
Contacts call 0713 227 551 kuiona gari, iko katika...
Nipo mbezi mwisho nauza hivyo vitu kwa bei zifuatazo!
Viti 14 vya plastic 8,000@
Meza 4 za plastic 20,000/=@
Kabati la Alumimium futi 4 urefu
250,000/=
Friji kubwa la kioo 300,000/=...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.