Pata logo itakayoweza kuwakilisha biashara yako au bidhaa yako mahali popote pale uendapo duniani kwa bei nafuu kabisa kwa bei nafuu kabisa kwa anayehitaji logo awasiliane nami through 0689341445...
Kimoja kipo kibaha kingine kipo vikawe kama unaenda bagamoyo . plot selling in a kibaha and vikawe place. Kibaha lina heka 2 kilometa 7 kutoka road up to shamba la vikawe lina heka tatu na pia...
laptop inauzwa ipo kwenye hali nzuri,imetumika miezi 3 tu
bei ni 450000/=
specifications
HDD(HARD DISK SIZE) 500GB
RAM 4GB
intel core i5-3317@3.40ghz
conact ;0652206863 au pm
Ni cha startimes, kimetumika miez 3 hivi, kipo mwanza, bei 80,000, kina zile 5 free channel hata usipolipia. Wahi fasta kabla kombe la dunia halijaisha...............!!!!!! For a serious buyer...
Wakuu hii gari bado ipo Zanzibar sijaisafirisha kuja home Dar,
Nilikuwa na wazo la kuifanya Dalala lakini BRT ndio naona itanivurugia mipango.
Nilitaka kuiweka iwe STAFF BUS kwenye Taasisi...
Chumba na sebule au vyumba viwili na sebule iwe inajitegemea choo, ikiwa inajitegemea itakuwa bora zaidi.Viwe kwenye mazingira mazuri. Maeneo ya Mwenge, Afrika sana, Sinza, Maeda, Kijitonyama...
Jaman nauza lain zangu za mpesa,tigopesa na airtel money nimekula mtaji.TIGOPESA NAUZA LAK 6,MPESA LAK 170000,NA AIRTELMONEY 170000.NAMBA YANGU 0712620078
Wadau ninatafuta boad la Toyota Avensis lililosimama kwa bei nzuri..
Gari yangu ya mwaka 1999-2000,cc 1.8
Ikiwa imekamilika na taa zake..
My contract 0715784787
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.