Wadau wa ardhi,
*Nyumba hii inauzwa jijini Mwanza.
*Ipo eneo la Luchelele, mbele ya SAUT,
*Ni nyumba mpya ipo kwenye finishing,
*Inavyumba 3, master 2 na kawaida 1,
*Plasta ndani na nje...
wadau,
Kama kuna mwenye iPod na anauza basi ahusike na kichwa cha habari hapo juu ila iPod yenyewe iwe nano (8th generation) ama touch (4th generation with memory of 64GB).
iPod ziwe mpya na...
Kiwanja cha 17m kwa 35m kinauzwa millioni 5 kipo Chanika Masantula karibu na shule ya Tungini,
Note:
ni vipande vinakatwa kutoka eneo kubwa kwa hiyo kuna flexibility ya eneo la kiwanja kupimwa...
Habari ndg JF
Ninauza tablet yangu nimeitumia mwezi mmoja tu toka iliponunuliwa nI ZTE TABLET bei yake ni 380,000 (laki tatu na themanini). DSM
serious buyer call 0717 163106
SPECIFICATION...
Ninauza ng'ombe bora wa maziwa (product za kituro) kwa bei ya jumla Tsh. 900,000/- kwa kila mmoja.
Ng'ombe wako watano na wote wanakamuliwa na wana mimba kati ya miezi mitatu na minne.
Wanatoa...
Wadau, habari zenu?
Hivi naweza kupata wapi nguzo imara za vyuma kama zile zinazotumika kutengeneza stand za daladala za magari yaendayo kasi (STRABAG).
Na zinauzwa bei gani kwa nguzo moja na...
Habari ndg JF
Ninauza tablet yangu nimeitumia mwezi mmoja tu toka iliponunuliwa nI ZTE TABLET bei yake ni 380,000 (laki tatu na themanini).
serious buyer call 0717 163106
SPECIFICATION...
Mapato yako ya kutumia Perfect App kwa mwezi wa November 2013 yameshatayarishwa.
Kuna sehemu tatu upande wa juu kushoto wa Perfect App. Ya kwanza ni kwa ajili ya Cash Factors, ya pili ni...
Nauza sim aina ya blackberry bold 9900,iko kwenye hali nzuri na haina michubuko yoyote,
ina 5mp camera
8gb internal memory.
rangi ni black.
bei yake ni 350,000
picha imenishinda ku upload...
Kiwanja kinauzwa, kipo Majohe 5km kutoka Mombasa/Gogolamboto. Kiwanja kimepimwa na Serekali na kina title. Kina ukubwa wa sqm1100., bei 12m.
Anaye hitaji wasiliana nami.
Wakuu poleni na majukum, naitaji hiyo komputer model kuanzia 2010 kushuka chini. Ambaye atakua nayo bac tuwasiliane kwa pm or kwa cm
no yangu ya cm ni 0769038065.
Natanguliza shukrani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.