Habari
Nimeamua kuuza shamba langu ,maelezo kuhusu shamba ni kama ifuatavyo.
ukubwa:hekari 30,linauzwa lote kwa pamoja na sio vipande
eneo:wami dakawa,karibu kabisa na ranch ya mzee mwinyi...
Habari,
Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya Tangi bove/Afrikana/Jogoo/Mwenge au Makumbusho. Iwe na vyumba viwili vya kulala kimaoja master, sebule na jiko. BAJET NI 170000/= inaweza kuongezeka...
Glad to contact you, please give me some 2 minutes to introduce our new offer, that suites you and your business in order to establish a good business relationship thanks.
First of all our...
Tanga Fast Food Investment imerudi tena na imeamua kubadilisha jina lake la kibiashara na kuitwa IFA INTERNATIONAL CATERING SERVICE kutoka na maombi ya wateja wetu wengi . Hivyo basi katika msimu...
Nauza simu ya samsung galaxy s advance, ni nzima kabisa kwa tshs 300000 (laki tatu). Kama uko interested unaweza ni pm au check kwenye 0785919196. Nipo dar
a) Ubuyu uliopikwa toka zanzibar. Wazoefu wa ubuyu wa Zanzibar uliopikwa wanaelewa. Ni mtamu balaa
b) Nakuuzia kwa bei ya jumla
c) Nasambaza mikoa ifuatayo ukihitaji:
Dar...
nimeona sasa ITV, imenisikitisha sana mama moja songea amejifunguli njian amepakizwa kwenye bodaboda, watu waliohojiwa wamelalamika mama mjamzito yeyote songea lazima akajifungulie hospt ya mkoa...
Kiwanja kinauzwa..kna ukubwa wa robo 3 accre..
Location..kipo kibaha kwa mathias 3km frm morogoro road...
Eneo lipo karbu na huduma zte za kjamii yaan umeme,maji,hospital na zngne nyingi tu...
wakuu heshima ziwafikie popote mlipo, nahitaji msaada tajwa hapo juu....wapi naweza pata studio lights kit nzuri? nielekezeni mkuu hata kama mnayo pia mnaweza nipatia taarifa
iwe na miamvuli...
Nauza simu ya samsung galaxy note 2, imekuwa imported kutoka nje. Iko kwenye hali nzuri mno, haina scratches kabisaaa. Kwa mawasiliano njoo pm or nichek at 0717301520
Jipatie Epson printer mpyaa na wino wa nje kwa shilingi 300,000 tu. Print picha, documents zako bila hofu ya gharama za wino. Nipo Arusha ila mzigo utakufikia popote ulipo. Piga 0784626616 kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.