Kiwanja kwa ajili ya makazi chenye ukubwa mita 30 kwa 30 kinauzwa. Kipo eneo la Kibamba, Kibwegere. Bei ni TZS 8m, maelewano yapo. Anayehitaji, ani-pm namba ya simu tuwasiliane.
Habari ndugu zangu!! nauza simu yangu ya HUAWEI Y300 kwa laki 2 na 20 tu (220,000/=)
nimeitumia week tu haina tatizo lolote na ina kila kitu ni mpya haina hata mchubuni wowote
0713644485 number...
WanaJF,
Eti ni wapi Dar ninaweza kupata African prints za quality nzuri na kuvutia?Zinatoka nchi gani? Bei haina neno nitapambana nayo mathalan nipate bidhaa yenye kiwango kizuri.
Natanguliza...
habari wana jf nauza playstation 3 iliyokuwa cheaped na inatumia multiman 4.46.,ina ukubwa wa gb 80 na ndani yake ina michezo ambayo inacheza tayari ikiwemo fiFA 14,GTA 5,NA ALPHA PROTOCAL na cd...
Salam kwenu wakuu!
Nahitaji dada wa kazi kwa ajili ya kazi za nyumbani mwenye contact zozote mahali naweza kupata mfanyakazi please anisaidie...naishi makongo juu ccm.
Natangulisha shukrani...
Ninauza Toyota rush, modeli ya mwaka 2007, rangi nyeusi metalic (presidential colour), imetembea mileage 67000kms tu mpaka sasa. imeingia nchini mwezi wa saba mwaka huu. iko kwenye hali nzuri...
Shamba lenye ukubwa wa hekari 2 lililopo Bunju B linauzwa milioni 28.Shamba lipo karibu na wahanga wa mafuriko na ni kati ya dakika 10-15 kutoka zilipo nyumba za wahanga,shamba ni tambarare na...
wakuu nauza simu aina ya nokia 311
*simu ina wi-fi
*single line
*camera
*touch screen
Bei ni tshs.140,000/= bei inapungua
nitafute hapa 0715404808
nipo dar es salaam
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.