Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Habari Wadau, Natafuta Printer yenye sifa zifuatazo. * Yenye uwezo wa ku-print paper sticker *Rahisi katika kujaza wino au wino wake unaopatikana kwa bei rahisi *Heavy Duty *Bei Poa SMS...
1 Reactions
0 Replies
830 Views
Natafuta eneo linalofaa kwa biashara ya baa hapa Dar es salaam. Sifa husika: Eneo liwe sehemu za kuwalenga wateja, sehemu ya wazi, jirani na barabara, na pia liwe na parking ya kutosha. Mwenye...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
New White, including Box .Get it for 770,000/= No negotiations. Call 0712868178
0 Reactions
0 Replies
633 Views
Shamba! lenye ukubwa wa Hekari 11 Linauzwa sh 30M Kibaha Madafu km 7 kutoka Barabara ya Morogoro.lina miti ya mikorosho michache halija pimwa. Ukiwa INTERESTED Usisite kuni PM Au kunipigia...
0 Reactions
0 Replies
918 Views
Habar zenu wakuu.. Nauza simu tajwa hapo juu(TECNO P5).. imetumika kwa wiki3 tu.. Bei ni 160000... SPECS MUHIMU.. DISPLAY - 4 inch. BACK CAMERA - 5 megapixel. FRONT CAMERA - 2 megapixel. OS -...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Hii ni box mpya,haijawahi kutumika ya kuunlock na kuflash simu za aina zote zikiwemo Samsung, lg, sonyerricson, huwaei,zte nk. Contact: smileltd@hotmail.co.uk 0714101020
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu, ninauza uwanja Dar. Uko km 23 kutoka kigamboni felly. Ni njia ya kuelekea dsm zoo. Ni mbele kidogo ya dsm zoo. Bei sh 7.5 m. Ukubwa wa uwanja ni nusu heka. Mchanga wa kujengea unapatikana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Kwa anae hitaji pm, gari ipo ktk hali nzuri.
0 Reactions
7 Replies
984 Views
wakuu kama heading inavyojieleza nina 150000 naitaji cm ya adroid,kwa yeyote atakayerizika na offer yangu ani pm please,
0 Reactions
16 Replies
8K Views
Wana jamii...nahitaji kuku wa nyama idadi isiopungua kuku 1000 kwa maelezo zaidi na kufanya biashara piga no 0785168001...kama hauko serious au wewe ni dalali usipige tafadhali.
0 Reactions
21 Replies
3K Views
habarin wakuu. naomben msaada nahtaj kuanza kufuga kuku wa mayai,mwenye ujuzi naomba anijulishe vitu muhm vinavyotakiwa ili kuanza na jinsi ya kuwatunza...ahsanten
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wadau Nahitaji Toyota Altezza haraka. Color: Black or Silver Year: Not before 2001 Budget: 8.5m Isiwe imetumika Tanzania zaidi ya mwaka mmoja.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nina shida na milioni moja mtu mwaminifu ajitokeze kwa mkopo huo piga namba 0714064767
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kuna gari mbili aina ya IST za mwaka 2004 kilometa chache zinauzwa bei poa kabisa..zimefika jana tarehe 14/12/2013 toka Japan. Gari tayari zimeshashughurikiwa taratibu zote za TRA, Sumatra...
0 Reactions
38 Replies
14K Views
Wadau.. Nyumba ipo Kigamboni-Kibada... ipo katika makazi yaliyopimwa na kina hati.. nyumba iko katika kiwango cha renta. Mmiliki amekwama kiuchumi kumalizia ujenzi. Bei 50 Mil. mazungumzo yapo...
0 Reactions
3 Replies
963 Views
nauza nokia asha 302 ni laini moja ina whats app na ipo ktk hali nzuri kabisa.bei 90 elf tu.nna shida ya pesa haraka mwisho jumatatu ofa hii.ntafute 0659626782.nipo dar,magomeni
0 Reactions
0 Replies
911 Views
Mzigo uko sokoni BRAND- X-TOUCH PROCESSOR-1.6 Ghz RAM-1GB MEMORY-16GB DISPLAY SIZE-9.7" HDMI PORT CAMERA: FRONT -2MP . PRIMARY -3.2MP PRICE 400,000 CONTACTS 0718355635 NAPATIKANA DAR ES...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
wana jf,mimi ni agent wa kampuni ya china inayoitwa "trades easy way co.ltd"ambaye huwa nachukua oda na kuzituma kisha mzigo unawasili baada ya mwezi mmoja.wewe kama mteja unachotakiwa kufanya ni...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Shs 3,500,000/= piga 0714064767 for whatsapp pics
0 Reactions
21 Replies
3K Views
DELL latitude E6400,RAM 2GB,PROCESSOR DUO CORE 2.4GHZ,HDD 250GB BEI 450000,maelewano yapo Kwa anayeitaji anipigie au sms 0759149202 Notebook Aspire D2550,RAM 4GB,PROCESSOR 2 DUO CORE 1.82GHZ,HDD...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom