Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Nauza used HTC one for sale kama ilivyo kwenye picha,kwa serious buyers simu yangu ni 0768808819 ama ni pm
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nipo zanzibar mjini kununua onana na mimi iko very good condition with automatic door system even back door come and see for ur self full with navigation system contact me 0785 996663
0 Reactions
4 Replies
885 Views
Cruiser motors Tanzania Ltd.....ni wauzaji wa pikipiki bora na za kisasa kwa bei nafuu....kuanzia milion 1 na laki nne na nusu....piga ..tupo kkoo mtaa wa mafia...piga simu namba 0658904648
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Jaman ninahtaj hyo apo cm iwe mpiya na unlocked kabisa! Nipo mwanza! Chek me 0689601294 0768870380
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nakodisha gari yangu binafsi shilingi elfu harobaini kwa siku nzima, mafuta juu yako. Gari lenyewe ni : Make - toyota model -caldina new model iko katika hali nzuri sana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hello Nauza galaxy s3 mpyaa rang ya maroon kwa lak 6, especially kwa watu wa dodoma. Sabab za kuiuza n kwamba nmeishiwa pesa, na cna hata shlng na nko dodoma ugenn.
0 Reactions
0 Replies
840 Views
Habari zenu wadau Nahitaji OVEN Machine Kubwa ya Deck 1 hadi 3 (Gas or umeme) ya kukodisha au used inayouzwa, Mwenye nayo au info kuhusiana na hili tufahamishane wadau.
0 Reactions
0 Replies
708 Views
Jaman ninahtaj hyo apo cm iwe mpiya na unlocked kabisa! Nipo mwanza! Chek me 0689601294 0768870380
0 Reactions
0 Replies
673 Views
Habari wanajf,mimi ni mkulima wa alizeti, sijawa na uwezo wa kununua mashine ya kukamua alizeti. Sasa ningependa kufahamu hizi mashine naweza kuzipata wapi ktk mikoa ya morogoro na Dar, na bei...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauza laptop mpya aina ya HP(HSNNC31C)pichani. Processor 2.00GHZ, Ram 1GB, BIT 64,DUO CORE, Hard disk 300GB, web cam NO!, DVD ROOM YES!, COLUR BLACK..BEI NI 400,000/= laki nne TU.kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
I am looking for a fresh apples supplier.serious individuals with a registered company only.A bank account is a must.email me:charles@liberty-eagle.com
1 Reactions
3 Replies
909 Views
Wanajamvi, ni wapi ntapata baiskeli zenye accessories za kuuzia vitu kama wanazotumia azam kuuzia lambalamba? Bei zikoje?
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kwa aliye na simu kati ya hizo anichek ballance yangu inasoma 300,000/=
0 Reactions
2 Replies
936 Views
Wadau naitaji pkpk tajwa hapo juu zisizidi miezi 6 au 7 bei elekezi laki 9 mpaka mill 1 nipo temeke dar es salaam simu 0712690760
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mashamba ya kukodi bei chee. 1. Msanga mbele ya chanika karibu na Dar Es Salaam, kukodi kwa ekari kwa msimu mmoja = 50,000/ tu. 2. Mkinga wilayani mkoani Tanga kukodi kwa ekari kwa msimu mmoja =...
0 Reactions
17 Replies
8K Views
kumekua na tabia ya watu kuuziana hizi line za M-Pesa, tiGo Pesa na Airtel money pasipo kuangali hatari yake.. au kuchukua tahadhari. Hatari iwezayo kutokea kwa wanunuaji wa hizi line, unaweza...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Bei ni lak 3 na 50 . Ipo katika hali nzuri sana (excellent condition ) Rangi nyeupe . Kama unahitaji 0718340119 tuma msg, zote ztajibiwa
0 Reactions
5 Replies
916 Views
wana jf habari zenu, Kuna tangazo linaoneshwaga chanel 5 linalosema" fupi tamu ndefu inakela" mimi nimeshindwa kabisa kumwelezea mtoto wangu hilo tangazo lina maanisha nini baada ya kuniuliza...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wana JF, Kumekuwa na matangazo mengi sana humu juu ya viwanja Kigamboni. Ningeshauri kujikumbusha mipango ya Serikali juu ya Kigamboni kabla mtu hajaamua kununua viwanja vinavyotangazwa kwa kazi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu ninayo pesa tajwa hapo juu natafuta smart phone mpya au iliyopo katika hali nzuri hasa Htc one x,(isiwe Nokia Lumia) kama unayo ni pm nitaicheki nikiridhika naichukua. serious no ubabaishaji.
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom