Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Wahi fursa ya pekee zimebaki Hekari 100 tu. Zipo Igeleke - Mufindi. Hekari moja ni Tsh 110,000/=, ukinunua nyingi unapata punguzo. Wahi kabla haizijaisha. Contact: 0687 022411
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nauza hizo machine kama mnavyoziona kwa walio mkoani tunaweza kukufikishia tukikubaliana 0768808819 ama ni pm,tunazo na aina nyingine vilevile
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Simu tajwa hapo juu naiuza kwa bei hiyo, ni used na inakubali whatsapp. Nicheki 0714-408238.
0 Reactions
0 Replies
798 Views
TOYOTA IST ya mwaka 2003 used lenye namba T ###CCY white colour ipo kwenye hali nzuri bei mil 11 maelewano yapo kidogo more info Pm ntakupa namba za mawasiliano incase ukitaka kuliona sorry kwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakubwa habari zenu? Jamani ninataka kununua Verossa..ila sijui kama ni gari imara ama vipi? Naombeni munipe uzoefu wenu kuhusu hizi gari.
0 Reactions
25 Replies
12K Views
Nauza uyoga kilo moja kwa fresh mushroom ni 10000, nautoga mkavu (dried mushroom) ni shs 50,000...karibuni wote.. 0756 090222 au 0717163106
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nyumba inauzwa, ipo mazimbu oyster bay, morogoro. Ina ukubwa wa 1,566 square meters vyumba 4, 1 self contained master bedroom na 1 self contained guest room; ina servant's quarter yenye vyumba 6...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
INA MARUMARU YOTE, VYUMBA VITATU VYA KULALA, MASTER BED ROOM, SEBULE, JIKO, STORE, PARKING YA GARI, rent 400,000/= tshs. 0776 000084, N.B DALALI HATAKIWI
0 Reactions
0 Replies
832 Views
natafuta memory card 64GB micro sd card
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Nipo Ruaha/Kilombero nahitaji line ya uwakala ya tigo-pesa.Tuwasiliane kwa 0763 160126.
0 Reactions
0 Replies
880 Views
Natafuta watu wenye ujuzi wa mambo ya bustani na landscaping ambao wapo tayari kufundisha kazi hizo.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hamjambo wana JF. Natafuta architecture wa ku-design nyumba na kutoa michoro ya nyumba. Naomba tuwasiliane.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nauza laptop aina ya HP(HSNNC31C)pichani. Processor 2.00GHZ, Ram 1GB, BIT 64,DUO CORE, Hard disk 75GB, web cam NO!, DVD ROOM YES!, COLUR BLACK.. haina tatizo lolote, toka ianze kutumika hata...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
mzigo ushaisha tayari thanks kwa wote
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Wadau anaejua bajaji zinauzwa wapi na bei gani anijuze tafadhali.
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Dar es salaam Stock exchange inakuletea filamu kali, ikishirikiana na wasanii maarufu wa East Africa, yaani Kenya, Uganda,Rwanda na Burundi. Filamu hii itakuwa inahusu kukuza ujasiriamali, huu ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natafuta toyota premio au Altezza ya kununua kama ipo ni PM.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Apple Iphone 5 64GB $600usd Apple Iphone 5 32GB $500usd Apple Iphone 5 16GB $450usd BlackBerry Porsche :$1000 BlackBerry Design$900USD Blackberry Q10 … $600USD Blackberry Z10 … $550USD...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba anayejua sana kuhusu haya magari ni lipi imara na bora kati ya hayo mawili
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Mimi sio mwenyeji saana wa Dodoma ila napafaham kidogo. Pia ninapapenda, mara kadhaa nilishakuwepo kwa mapumziko binafsi. ishu ni kua nina marafiki kadhaa na ndugu Dom ila sina rafiki...
0 Reactions
0 Replies
735 Views
Back
Top Bottom