Mimi sio mwenyeji saana wa Dodoma ila napafaham kidogo.
Pia ninapapenda, mara kadhaa nilishakuwepo kwa mapumziko binafsi.
ishu ni kua nina marafiki kadhaa na ndugu Dom ila sina rafiki...
Poleni na kazi wadau..nahitaji desktop computer 10 ziwe na specification ndogo na za kawaida.nko mbeya mawasialiano yangu n 0716134171 naomba serious seller tufanye biashara.
Camera za CCTV pamoja na DVR zinauzwa
1) Digital Video Recorder - 4 Channels (TZS690,000/=)
Network Digital Video Recorder
H 264
With DVD Player
2) CCD Digital Video Camera...
Natafuta nyumba ya kupanga mazingira ya ubungo au kimara yenye vyumba vitatu vya kulala, sebule, jiko, choo na bafu ikiwa ina master itavutia zaidi.
Budjet yangu ni laki mbili kwa mwezi.
Kuna nyumba inauzwa tegeta madale ina vyumba vitatu kila kitu ndani ila haina masterbedroom,imepigwa bati ina madirisha na mageti kwenye milango bado finishing tu. mwenyewe anaiuza kwa...
Ni toyopta corona EXIV
imetembea 180,00km
inatembea na ina hali nzuri....
nyeusi metalic...
cc 1800 (ilichakachuliwa zikashuka hadi 1500)
Power Window
Aircondition ipo Ok (ya kujaza gesi tu...
Salaam!
Nahitaji kununua gari aina ya Fortuna hapa Tanzania. Nina taarifa za kuwepo kwa TOYOTA Tanzania kama moja ya wauzaji wa magari mapya.
Naomba kujulishwa wapi pengine naweza kupata gari...
simu ya huawei y300 inauzwa ,for specifications Google is your friend.bei ni laki mbili unapewa kila kitu ni mpya haijawahi kutumika. kama upo interested niPM.
Shamba kubwa lenye ekari 66 kwa pamoja linauzwa maeneo ya Matimbwa Bagamoyo. Shamba lina hati tayari na linauzwa kwa pamoja kwa Tsh milioni 450.
Anayehitaji anipigie au anitext 0769142586 au...
Kwa mwenye gari tajwa hapo juu naomba tuwasiliane.
Sifa za gari:
1. Gari iwe ya milango mitano
2. Iwe manual
3. Hali ya gari iwe inaridhisha kwa muonekano wa ndani na nje
4. Bei yake isizidi...
Hello.
If u likes to buy surveyed plots in Mbutu, Tanzania. please feel free contact, info@kitomai.com +255 755 312 233 plot price 15,000/= per square meter These plots have sizes...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.