Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Habari Wana jf, Mimi ni kijana wa miaka 24 mkazi wa dar mtaa wa external manispa ya UBUNGO naitaji kazi ya uvuvi mana ndio ninayo ipenda pia iki patikana piki piki ya mkataba au daywaka...
1 Reactions
2 Replies
261 Views
Habarini za jioni wadau wa JF, Mimi nimhitimu wa chuo mwaka 2013,Nina degree ya maendeleo ya jamii,naomba kwa mwenye connection yeyote ya kazi, sichagui Wala sibagui kazi yeyote nafanya. Asanteni
2 Reactions
13 Replies
457 Views
Naomba kuuliza eti nimefanya application ya police ajira sasa Kwa bahati mbaya siku ya Leo tar 27 nimecancel application then mfumo ukaniambia ni deadline je Ina madhara yoyote?
1 Reactions
5 Replies
307 Views
Wanahitajika wafanyakazi /Office Assistants (04) Sifa i) Awe anaweza kutumia vizuri computer, basic programmes (MS WORD, EXCEL, PUBLISHER), SPSS will be an added advantage ii) Awe tayari...
1 Reactions
1 Replies
418 Views
Habari ya majukumu, Natafuta mfanyakazi wa stationery mwenye uzoefu na kazi hii. Location: Mbeya Mjini Mawasiliano: 0629081759 NI HARAKA, WAI TUFANYE KAZI.
1 Reactions
3 Replies
692 Views
Habari, Natafta kazi ni mesoma IT, natafta kazi yoyote inayohusiana na mambo ya IT hata kama ni ya stationary ili mradi iwe inahusiana na mambo ya IT.
0 Reactions
0 Replies
252 Views
Kwann kwenye hichinkipengele cha status kwenye app kiko hakijajazwa wakat kwenye website wamekijaza vizuri kuwa not shortlisted kwa oral.....ilaa hii aptude test bwana et nina 91 afu siko...
0 Reactions
4 Replies
417 Views
Age:18 yrs old, Salary atakayo ni 80k kuendelea. Awezacho ni kulea mtoto, watoto, wazazi wa watoto hao au kuuza duka. Maelezo mengine ni inbox wapendwa
4 Reactions
18 Replies
518 Views
Naomba kuuliza ajira za vyuo vya kati huwa wizara wanatoa mwezi gani kila mwaka.
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari wapendwa mimi ni kijana wa kike nina umri wa miaka 27 elimu yangu ni kidato cha nne pia nina certificate ya entrepreneurship natafuta kazi yoyote kati ya hizi:- [emoji1314] Stationary...
5 Reactions
46 Replies
4K Views
European Union (EU) Delegation Jobs 2024 Associate Communication, Monitoring and Evaluation Officer Associate Communication, Monitoring and Evaluation Officer at MARKUP II May 2024 TERMS OF...
0 Reactions
0 Replies
230 Views
Tender No: TP/05/2024/NCB/W/015 Repair Of Terminal Roads And Filling Potholes On Gantry Access Road Tanzania International Petroleum Reserves Co Ltd (TIPER) is a bulk storage facility for...
0 Reactions
0 Replies
192 Views
Organisation: DIGNITY Kwanza – Community Solutions (DIGNITY Kwanza) Position: Assistant Legal Officer Reporting Line: Project Coordinator Duty Station: DIGNITY Kwanza Ulyankulu Office, Tabora...
0 Reactions
0 Replies
163 Views
POST DRIVER CLASS II – 1 POST EMPLOYER Mbulu District Council APPLICATION TIMELINE: 2024-05-27 to 2024-06-10 JOB SUMMARY NIL DUTIES AND RESPONSIBILITIES Checking the vehicle before and after...
0 Reactions
0 Replies
159 Views
Job Opportunity – Junior Health Information Systems (Jnr. HIS) Developer Location: Dar es Salaam Application deadline: June 8, 2024 Start date: July 15, 2024...
1 Reactions
0 Replies
231 Views
.
6 Reactions
199 Replies
2K Views
Vijana endeleeni kuomba KAZI, nawaombea Mungu wangu awape kibali wote wenye uhitaji mfanikiwe. Pia soam: Tangazo la ajira kutoka Jeshi la Polisi Tanzania Aprili, 2024
6 Reactions
59 Replies
4K Views
Ofisi mpya inahitaji vijana wawili, mmoja kwa ajili ya kusimamia duka la viatu (wakike) na mwingine ni kwa ajili ya mauzo ya insurance. Ofisi ipo kinondoni vijana, Dar es salaam, mwombaji awe...
3 Reactions
2 Replies
429 Views
Habari jamani kuna TANGAZO la kazi chuo kikuu huria Tanzania ( OUT). Sasa kwenye tangazo wamesema barua zote ziwe addressed na anwani yao Na tuombe kupitia ajira portal na imezoeleka ajira...
1 Reactions
3 Replies
379 Views
Position: Cashier Key Requirements • Certificate / Diploma in Accountancy from any recognized institution. • Minimum one year of working experience in the same position. • Good customer care...
1 Reactions
3 Replies
449 Views
Back
Top Bottom