Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Jaman mimi ni muajiriwa nafasi fulani ya juu kidogo hapa nchini. Nimeweza kupata mil 70 ambayo ni matokeo ya SAVING ya muda mrefu na hela zangu fulani nilikuwa nazidai kulipwa. Mpango nilionao ni...
14 Reactions
130 Replies
5K Views
Kama kichwa Cha habari tajwa.... Sifa nlizonazo a)Dereve wa Gari zote( kubwa na Ndogo) kama mabosi wa Magari mpo humu nawakaribisha b)kama wewe ni Dereve unahitaji conductor pia nipo tayari...
5 Reactions
41 Replies
1K Views
Habari, kwa mwenye uhitaji na afisa masoko/mauzo kwa biashara yake basi nipo hapa. Mimi ni kijana wa miaka 24 uzoefu wangu ni sales and marketing department kwa miaka 2 japokuwa ni mhitimu wa...
0 Reactions
3 Replies
389 Views
Vijana mlioomba kuingia TAKUKURU Majina ya kuitwa kwenye Usaili yametoka kwenye Website Sasa mkajaze Aziz Ki na Pacome kwenye Usaili
8 Reactions
98 Replies
14K Views
Developer required.
0 Reactions
8 Replies
926 Views
Habarini ndugu zangu naitwa Laurian, Ningependa kuomba kujua vitu mbalimbali muhimu kuhusu Ufunguaji wa Kampuni ya Usafi. Je, naitaji kuwa na vibali kutoka wapi? Je, Unaweza kuanza kazi ukiwa...
0 Reactions
0 Replies
603 Views
Salaam kwa wana JF wote, naomba mwenye kibarua aniunganishe tafadhali nina miaka 26, nina diploma ya Accounting, na degree ya Accounting and finance. Nipo mkoa wa Arusha, hata internship nafanya...
10 Reactions
34 Replies
3K Views
Habari Jamii! Ninatafuta fursa ya kazi ya intern software developer(paid). Katika ajira yangu ya awali nimefanya kazi kama IT Support specialist lakin ninataka kubase kwenye coding kwasababu...
2 Reactions
0 Replies
326 Views
POST ASSISTANT LECTURER (EDUCATION IN PSYCHOLOGY) – 3 POST EMPLOYER Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA) APPLICATION TIMELINE: 2024-05-16 2024-05-29 JOB SUMMARY N/A DUTIES AND...
1 Reactions
0 Replies
303 Views
POST ASSISTANT LECTURER (SOCIOLOGY) (1 POST) – 1 POST EMPLOYER Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA) APPLICATION TIMELINE: 2024-05-16 2024-05-29 JOB SUMMARY N/A DUTIES AND...
0 Reactions
0 Replies
245 Views
POST ASSISTANT LECTURER (PROCUREMENT) – 2 POST EMPLOYER Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA) APPLICATION TIMELINE: 2024-05-16 2024-05-29 JOB SUMMARY NA DUTIES AND RESPONSIBILITIES I. To...
0 Reactions
0 Replies
258 Views
POST ASSISTANT LECTURER (ECONOMICS) – 1 POST EMPLOYER Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA) APPLICATION TIMELINE: 2024-05-16 2024-05-29 JOB SUMMARY NA DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. To...
0 Reactions
0 Replies
276 Views
POST VOCATIONAL TEACHER II – REFRIGERATION AND AIR CONDITIONING (RE-ADVERTISED) – 3 POST EMPLOYER Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) APPLICATION TIMELINE: 2024-05-16 2024-05-29 JOB...
1 Reactions
1 Replies
309 Views
Natafuta kazi, nina diploma ya uandishi wa habari na utangazaji. Pia nipo vizuri kwenye camera na video editing. Please jamani connect.
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Nisaidieni Kwa anaefahamu kwenye ritten wanauliza maswali yapi je ni essay au short answers na oral je wanauliza maswali yapi mwenye uzoefu nisaidieni
0 Reactions
0 Replies
385 Views
Pharmacist anatafutwa. Requirements: Awe na cheti kilichosajiliwa na baraza la wafamasia Location: Dar es salaam Payment: 800,000Tsh Contact: 0782121208
0 Reactions
0 Replies
544 Views
Wakuu vipi, Niliona Tangazo la kazi kupitia careerjet, la Curator, basi nkaomba maana application Yao ilikuwa so simple. Hii kazi inaitaji uwe na laptop na bandle, unalipwa $0.15 per each link...
0 Reactions
20 Replies
1K Views
Sorry wakuu wana Jamiiforums wenzangu.. Ninaomba msaada kama kutakuwa na muhusika humu mwenye mitihani ya leseni ya miaka nyuma anaweza kusaidia..nitatoa chochote kwa sababu natambua duniani...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari zenu wapendwa katika bwana, Napenda kufahamu zaidi kuhusu TaESA 1. Baada ya registration kukamilika ni process gani zinafanyika mpaka unachaguliwa, namanisha kunakufanya interview au amna...
1 Reactions
3 Replies
600 Views
yeyote aliye tayari kufungua internet & stationery , anicheki ninauzoefu wa kazi hiyo ,kwahiyo anicheki tufanye kazi
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Back
Top Bottom