Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Kwako mdau, Kama kichwa cha uzi kinavyo jieleza, kutokana na Wimbi kuongezeka la vijana wengi kukosa ajira/kazi. Ni ushauri gani utampa mtu aliye pata ajira leo. Ushauri uwe ume base kwenye eneo...
3 Reactions
18 Replies
925 Views
GStar Services ni Kampuni inayotoa ICT Services iliyopo Kinondoni jijini Dar es Salaam. Inatangaza nafasi ya kazi ya IT and Graphics designer kwa kazi ya full time. Kwa mwenye nia ya kazi hii...
3 Reactions
1 Replies
351 Views
Mimi ni dereva wa tax mtandao naishi kinondoni naitaji gari ya mkataba ninauzoefu wa udereva miaka saba Kwa mawasiliano 0677938003 0658755355
1 Reactions
3 Replies
399 Views
Wana jf naomba msaada wa pastpapers za mitihani ya leseni ya ufamasia ngazi ya cheti.Natumaini ombi langu litafanyiwa kazi.ASANTENI.
1 Reactions
0 Replies
414 Views
Wanajamvi, Mimi ni fundi welding pamoja na makanika wa jamii zote za Katapila pamoja na majenerata makubwa na madogo ingawa nina Digrii ya kwanza Project Planning and Management ambayo sijawahi...
4 Reactions
78 Replies
24K Views
Habari wanajukwaa Mimi ni binti wa miaka 28 nimesoma diploma ya pharmacy changamoto niliyonayo ni kusikia nimemaliza chuo 2020 sjabahatika kupata Chet nadaiwa sina wazazi. Naombeni mnisaidie...
10 Reactions
33 Replies
1K Views
Naombeni mnisaidie ushauri, nimeapply Kazi sehem mbili, Ajira za polisi pamoja na private company as sales engineer. Kwa wenye uzoefu Ni wap niende.
4 Reactions
17 Replies
786 Views
Hii maana yake ni nini Nimeshangaa Kama ni masters ninayo
2 Reactions
12 Replies
1K Views
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI Kumb.Na.JA.9/259/01/A/539 24 Mei, 2024 Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma, kwa niaba ya Wizara ya...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari viongozi, Mimi ni kijana wa miaka 24 mkazi wa Dar, Nina ELIMU ya chuo kikuu na nimehairisha MWAKA kutokana na changamoto mbalimbali ila nahitaji kufanya KAZI itakayo nipa kipato ili...
0 Reactions
0 Replies
314 Views
Jamani ndugu kwa unyenyekevu mkubwa nilikua naomba msaada kujua ni muda gani hasa wa kuripoti kwenye mafunzo ya upolisi na yatachukua muda gani Hadi kukamilika. Yeyote mwenye uelewa tafadhali🙏
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Nakusalimu Kwa unyenyekevu, na Kumshukuru Mungu Kwa Uwepo Wako. Ndugu Yangu Mimi ni kijana 27Yrs, Naishi kigamboni - Dar es salaam. Graduate wa Science in Education with ICT. Mbali na taaluma pia...
7 Reactions
9 Replies
1K Views
Location: TARIME Industry: Banking (Microfinance) DUTIES AND RESPONSIBILITIES. Credit Officer Job Responsibilities: -Marketing of loan products -Meeting with clients interested in taking out a...
1 Reactions
5 Replies
548 Views
Wakuu najua humu ndani walimu ni wengi akiwemo mpwayungu village, mm ni kijana wenu natarajia kumaliza chuo mwezi wa 7 tarehe 4 nafundisha BIOLOGY NA GEOGRAPHY level ya elimu ni DEGREE. Nahitaji...
3 Reactions
7 Replies
433 Views
Kitaaluma ni mwalimu wa masomo ya chemistry na biology. Nina uzoefu wa kufundisha O level na A level kwa zaidi ya miaka tisa sasa. Ninao uzoefu wa kuongoza pia katika nafasi za ukuu wa shule...
2 Reactions
14 Replies
832 Views
Habari wakuu, natafuta kazi ya permanent au temporary. Nina certificate ya laboratory technician level ll, pia nina experience ya miaka 2 ya quality control, quality assurance, lab technician na...
4 Reactions
4 Replies
427 Views
Habari wakuu, Mimi ni kijana umri miaka 24 mkazi wa dar mtaa wa external manispa ya ubungo,natafuta KAZI ya udereva boda boda iwe ya mkataba au daywaka ,namba 0785598033, ila leseni sina japo...
0 Reactions
0 Replies
335 Views
Habari viongozi, Mimi ni kijana wa miaka 24 mkazi wa Dar es salaam mtaa wa External manispa ya Ubungo, Naitaji MSADA kwa alie na piki piki ya mkataba au ya daywaka, pia ni mjuzi wa kuendesha ila...
0 Reactions
0 Replies
178 Views
Habari viongozi, Mimi ni kijana wa miaka 24 mkazi wa Dar es salaam mtaa wa External manispa ya Ubungo, Naitaji MSADA kwa alie na piki piki ya mkataba au ya daywaka, pia ni mjuzi wa kuendesha ila...
0 Reactions
2 Replies
295 Views
Request For Proposals To Provide Consultancy Services BACKGROUND Young Africans Sports Club (“Yanga”) founded in 1935 is a professional football club based in Jangwani, Ilala District, Dar es...
0 Reactions
0 Replies
312 Views
Back
Top Bottom