Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Position: Business Adviser Location: Tanzania Salary: Not Specified Contract Type: Not Specified Contract Length: Not Specified Full Time: Not Specified Interview Date: As soon as possible Start...
0 Reactions
2 Replies
239 Views
Position: Vocational Education and Training Adviser Location: Tanzania Salary: Not Specified Contract Type: Not Specified Contract Length: Not Specified Full Time: Not Specified Interview Date...
0 Reactions
2 Replies
322 Views
Position: Volunteer-Life Skills Adviser Location: Tanzania Salary: Not Specified Contract Type: Not Specified Contract Length: Not Specified Full Time: Not Specified Interview Date: As soon as...
0 Reactions
3 Replies
352 Views
Yaani hadi Shirika la Posta limewagomea halitaki hii Taasisi iwatafutie wafanyakazi ujue siasa zimetawala. Toka aondoeke Daudi Xevier yaani hii Taasisi imekuwa ya kisiasa kabisa. Nimefuatilia kwa...
1 Reactions
2 Replies
477 Views
Mimi ni kijana wa kitanzania, Naitwa Francis Michael natafuta kazi. Professional ni Mwanahabari na V.I.P driver. Vile vile hata kwa mwenye gari binafsi anahitaji dereva. Au kwa mwenye gari tuwe...
1 Reactions
0 Replies
216 Views
sifa Mhitimu kidato Cha nne au zaidi Cheti /diploma kuhitimu mafuzo ya computer /secretarial au record management.. Uzoefu wa kutosha kwenye office application kama Microsoft word...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, kijana wenu katika kuhangaika hii wiki nikapata kahela kidogo, sasa leo nilikuwa nimebakiwa na sh. 12,000/= kwenye mfuko wangu wa suruali ..nikiwa ninaenda kanisani asubuhi...
3 Reactions
10 Replies
603 Views
Naomba wenye uzoefu na ufahamu wanisaide ni mashirika gani (kwa majina) ambayo hayapo kwenye mfumo wa Lawson. Mimi ni muanga wa kuacha kazi serikalini mwaka 2012 na inanisumbua kurudi kwenye...
3 Reactions
36 Replies
5K Views
Wakuu, nahitaji dada wa kazi za ndani kwa Dodoma, familia ni ndogo ya mama na watoto wawili miaka 6 na mwingine miezi 5. Kazi kubwa ni kumwangalia mtoto mdogo wakati mama akiwa kazini. Shughuli...
2 Reactions
27 Replies
1K Views
Habari wakuu, Mimi ni kijana wa kiume niliesoma Diploma ya Laboratory technician kutoka chuo cha DIT napatika Dar-es-salaam, natafuta kazi kwenye shule au viwanda mkoa wa wowote nchini. Asanteni.
5 Reactions
8 Replies
793 Views
Kama kichwa kinavyosema nahitaji mdada anaejua kazi za saloon (ya kike) Kuosha wateja Kuweka Dawa Kusuka Misuko Tofauti Make Up kwa wateja Kubana styles tofauti Na Nyingine nyingi ambazo atakua...
3 Reactions
2 Replies
636 Views
Anahitajika Dereva wa kike wa kuendesha Gari ya shule mwenye leseni class " C1 ama C2" Mwenye miaka kuanzia 28 mpaka 40 na awe anaishi kati ya maeneo ya Goba au karibu Na Goba. CV zitumwe kwa njia...
1 Reactions
12 Replies
923 Views
Nimeitwa aptitude test wakati sina cheti cha shahada inayohitajika. Naomba ushauri.
0 Reactions
5 Replies
973 Views
Habari za majukumu waungwana! Mimi ndugu yenu mwanafamilia wa Jamii Forum nimerejea tena nikihitaji kazi. Mimi ni mhitimu wa shahada ya kwanza ya Sayansi Akua na Uvuvi (Aquatic Sciences and...
0 Reactions
6 Replies
527 Views
Habari wanajamii, Natafuta Supplier wa miche ya miti ya mipaina kwa ajili ya kupanda kwenye shamba langu lililopo Mzenga Zegero, wilaya ya Kisarawe, mkoa wa Pwani. Idadi ya miche inayohitajika...
2 Reactions
3 Replies
481 Views
Wakuu, habarini za muda huu na poleni kwa mihangaiko na shughuli mbalimbali. Kwa jina naitwa hemedy umri. wangu 25years kwa sasa nipo mkoani mbeya ila home ni dar nimekuja mdogo wenu nna shida...
2 Reactions
9 Replies
816 Views
TIC walitangaza nafasi kuajiri wakaitwa watu kwa usaili ambao umeahirishwa hadi watakapotoa taarifa nyingine Kuna nn imetokea?au ndio bas tena baba jane bye bye Nimepata taarifa hizi kwa rafiki...
1 Reactions
2 Replies
731 Views
Various Jobs Vacancy Jobs Summary SINDOYA Microfinance Company Limited is a leading financial institution committed to empowering individuals and communities through accessible financial...
1 Reactions
3 Replies
723 Views
Back
Top Bottom