Jamani habari za muda huu?
Naiomba Wizara ya Elimu watuambie basi lini watatoa ajira za walimu walizotangaza nafasi zake mwezi wa 8. Vijana tunazisubiri sana tunaomba wizara husika itufikirie...
The Royal Norwegian Embassy in Dar es Salaam will have a vacant position of a security assistant/driver, starting from March 2024.
Security assistant/Driver
Main duties and responsibilities...
Habar ya jioni wadau. Kindly fall through 👇👇👇👇
Anahitajika:
Kijana mwenye taaluma ya uhasibu kwa ajili ya kufanya kazi.
Sifa:
Kijana wa kiume, kulingana na mazingira ya kazi na uwajibikaji...
Nimejitokeza kutafta kazi humu ndani kwa mtu yeyote anaejua kama kuna kampuni inatafuta mtu wa mechanical anifamishe kupitia pm yangu,
Natanguliza shukurani zangu kwenu wadau.
Habari za saizi wakuu,
Naitwa Mary nina miaka 24 nina elimu ya chuo naombeni kazi yoyote halali. Nifanye nakaa Kigamboni hata kesho Niko tayari kuanza.
Simu: 0682787031
Wakuu habari zenu, mimi ni mhitimu wa kada ya diploma in Mechanical engineering natafuta kazi ama kujitolea.
Mimi ni kijana mchapa kazi kwa ambaye anaweza kunisadia tunaweza kuwasiliana.
Naomba...
Habari ndungu zangu
Nimehitimu shahada ya Mechanical Engineering. Naombeni msaada kupata kazi au internship maana nimeshazunguuka sana maofisini kuomba kazi bila mafanikio.
Habari wakuu
Mimi ni muhitimu wa shahada ya uhandisi mitambo yaan mechanical engineering
Natafuta kazi au nafasi ya kujitolea ili niweze kuendeleza taaluma yangu na kujiinua kiuchumi
kazi...
Habari zenu wakuu,
Mimi ni fundi wa magari nina uzoefu wa takribani miaka nane sasa natafuta sehemu ya kufanyia kazi nipo dar es Salaam. Au kama kuna mtu atakua tayari kufungua ofisi kwaajili ya...
Nina umri wa miaka 28 ninaishia Bagamoyo maeneo ya Mapinga shule ninao uzoefu wa kutosha kwa kazi hiyo nimefanya kazi ya stationery kwa zaidi ya miaka 7 na Secretary hivyo ninaouzoefu mkubwa...
Habari JF
Kama kichwa cha habari hapo juu kilivyoonesha. Jamani ndugu zangu mimi nimekuja kwenu kwa ajili ya kutafuta kazi, nina Diploma ya Rural Development planning, lakini pia nina short course...
HABARI YENU WAKUU,
Natafuta kazi yeyote halali ya kwenda na kurud mwenye connection please napatikana Moshi mji.
PIA NINA TAALUMA Diploma accounting &finance, b)driving Class D 3 years...
Wana jf kwema, natafuta kazi yoyote iwe halali nipo Arusha, professionally mm ni mwalimu wa Geography na history. Nina ujuzi wa computer. Fluent in English and Swahili.
Habari zenu
Natafuta kazi ya ofisini lakini pia nipo tayari kufanya kazi yoyote halali,mimi ni mwanamke,naishi arusha,nina miaka 33, elimu yangu ni certificate of human resource.
Natanguliza...
Kwa majina naitwa Abdallah nna miaka 23 nimemaliza chuo mwaka huu natafuta kazi ya ualimu shule binafsi au hata Hotelini, Kiwandani nipo tayari nipo Dodoma mawasiliano 0657897884
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.