Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Jamani any tetesi kuhusu hii internship washaita kwa interview?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
habari zenu wana jamvi jaman nina mdogo wangu yupo dodoma anatafuta kazi ya secretary yoyote mwenye kujua labda kuna sehemu m2 anahitaji awacliane nae kwa namba 0766959363 asanteni.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naombeni ushauri kuhusu uwezekano wa kupata ajira kwani nina cheti cha uhasibu {accounting} na nina ufaulu wa second class ningeweza kuendelea na masomo kwa ngazi ya diploma ila waliokuwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
hawa jamaa majuz waliwaita jamaa kwenye oral ya customer care,jamaa wakafanya oral wakafaulu wakapewa makabrasha ya kujaza wakamaliza wakaambiwa j3 waende mlimani city tayar kwa training for that...
1 Reactions
34 Replies
5K Views
Wana jamvi samahani lakini naomba mnijuze. Eti kati ya mashirika hayo matatu ni lipi linaongoza kwa kulipa mshahara mnono kwa wafanyakazi wake pamoja na marupurupu mengine. Akhsanteni
0 Reactions
21 Replies
12K Views
Wadau kama kawaida kitu hiki hapa! 1. Project Manager – Democratic Empowerment Project - P4 - https://jobs.undp.org/cj_view_job.cfm?cur_job_id=36200 2. Operations Manager- Democratic...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Kampuni ya MMP ARCHITECTURES (iliyopo mwenge na inajihusisha na uhandisi*ubunifu majengo )inayofura kutangaza kuwa muda wa maombi umesogezwa paka tarehe 27/03/2013. Kumbuka nafasi ni moja tu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Trainees: Accounts, Stores and Administration The Leading Group of Companies - Date Listed: Mar 19, 2013 Email Address: Click to Email Phone: No Calls Please Area: Dar Es Salaam...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ni eneo zuri linalofikika kwa urahisi sana, baada ya kuvuka daraja linalotenganisha DSM na Coast region,,mkono wa kushoto kutokea dar,,,, MINGOI rd, kama mita 600 frm the main rd.......piga namba...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari za leo wadau. Kwa wale wanaohusika na training ya tra inayoanza kesho pale ita, naomba kujuzwa muda wa kufika/kuripoti pale chuoni ni saa ngapi make kwenye barua hawajawa spesifiki.
0 Reactions
18 Replies
3K Views
anahitajika mwalimu wa kike mwenye qualifications za kufundisha watoto wenye umri chini ya miaka 3. center ipo mbezi beach, atapewa chumba cha kulala na chakula bure, experience si muhimu sana...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
mm. ni form 6 na nina certificate ya social work,pia nishafanyakaz kwenye ngo za ukimwi,za violence na microfinance,natafuta kazi jaman
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Tanroads wametema kwenye magazine la mwananchi...wadau naombeni desa la weighbridge kwenye interview
1 Reactions
15 Replies
4K Views
KWA WALIO DAR NA PWANI. Kama wewe ni mwalim yaani wa daycare, nursery, primary,ordinary secondary level au advance secondary level haujapata ajira, na unatafuta ajira, unahari ya kufanyakazi na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
kuna yoyote alie pigiwa simu kutoka landmark hotel mbezi beach tujuzane wana jamvi tuondoe hii sitofaham ONYO wale watakaosherekea siku yao 1/4/2013 wakae pembeni na uzi huu.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
nko lindi wilaya ya ruangwa mwl shule ya msing wAle wanaotk mara mwanza moshi arusha tabora geita shinyanga tuwasiliane 0688535510 au 0763207529
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mie ni kijana nilie maliza 4m4 mwaka jana sasa nimefaulu nimepata division 3 ya 23 nilikua mchepuo wa science nina C 5 sina F, ila sina pesa ya kujiendeleza nina miaka 19 kazi yeyote ile ila iwe...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
kijana niliemaliza form six nimejitahidi kutafuta tempo ila sijafanikiwa ninaomba msaada kama kunasehemu nawezapata nijue
0 Reactions
0 Replies
796 Views
Habari wadau wa jamiiforum! Nimeitwa kwenye interview crdb bank kwa ajili ya ability testing naomba msaada kujuwa inakuwaje, interview ni kesho. thanks
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Dar es salaam aje njombe mjini
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom