Habari?, natumai wazee wa jamvi kadhaa walihusika na uo usahili wa African Barrick Gold pale Blue Peal Hotel nami km nilihusika ktk mchakato mzima na tulikua wengi ambapo mwisho tulipgwa na picha...
hili linasikitisha kwani huu ni mradi mpya, kwa mfano kampuni inawezatangaza nafasi, mbili, zikatumwa application zaidi ya 2000, ikiwa kila applicant atachajiwa 20000, kampuni itakuwa imepata...
Habari zenu wakubwa,
je kuna mtu yeyote ambaye amewahi kuchukua hela ya NSSF kabla ya miezi sita (6) kupita?
Kama yupo naomba anifahamishe sababu alizotumia kupata.
Key result areas/ Essential functions 1) Prepare, examine, and analyze accounting records, financial statements, and other financial reports to assess accuracy, completeness, and conformance to...
hello wana jf: najafuta kazi mojawapo kati ya hzo hapo kwenye title, mwenye kufahanu wapi naweza kupata iwe ni moshi. anijuze kuptitia namba 0769453959 au 0656361001
email...
vipi wadau nauliza kwa wale waliofanya oral interview pale Tanzania Women's Bank tarehe 31/01/2013 kuna yeyote kashapigiwa simu ya kuitwa kazini? anayejua anifahamishe tafadhali
Tafadhalini wana-jamii forum natafuta kazi hizo hapo juu kwa Title location iwe Arusha .. Tusaidiane jamani hali ngumu kukaa nyumbani bila kazi. 0712804233, 0688904233 or veronicajr00@yahoo.com...
Habari ya asubuhi wanajamvi.
Tunatafuta mtu kwa ajili ya kuandaa "USER MANUAL" kwa ajili ya mfumo wa computer tuliotengeneza. Kazi hii ni ya muda mfupi malipo yake ni makubaliano. Pia kama...
Natumaini wazima wana jf.
jamani nina mjomba wangu. Anomba tender za;
1. kuwacholea ramani za majengo either residential, commercial or multstory building zote anazifanya ata ukitaka akusimamia...
NATAFUTA KAZI YA KUINGIZA KUMBUKUMBU KWENYE COMPUTER, NINAUZOEFU WA MIAKA 3 KWENYE KAZI HII.
PIA HATA KAZI YA STORE MANAGEMENT, NIMEMAKIZA CERTIFICATE YA NBMM MWAKA HUU 2010.
EMAIL YANGU...
Hey there.
Hope mko poa wakuu.
Naomba yoyte mwenye connection ya mgodi wowote hapa Tanzania, ambao wanaweza nichukua kama internship kwa muda wa mwezi m1. Lengo kuu ni kupata mafunzo tu na ideas...
Siku chache zilizopita hapajamvini nilipost nilipost kutakakujua kwa yeyote anayewafahamu Health Gear waliotoa tangazo ya Project Officers nafasi 9. Nilifanya hivyo kwasababu tangazo lilikuwa...
Anatafutwa matron katika shule ya English medium. Pamoja na sifa nyingine, awe anajua kuzungumza kiingereza vizuri. Piga simu no 0719 604156 kwa maelezo zaidi
Introduction
Sikika is a non-governmental organization that advocates for quality health services for all Tanzanians. The organization works to ensure equitable and affordable quality health...
NATAFUTA KAZI YOYOTE INAYOHUSIANA NA HUDUMA KWA JAMII(TEACHING), RESEACH WORKS, HUMAN RESOURCE WORKS, PROJECT PLANNING AND MANAGEMENT AU MINING ACTIVITIES.
ELIMU YA NI BACHELOR DEGREE OF ARTS...
Habari Wanajamii,
Natafuta Mtu mwenye ujuzi wakuandika kiswahili
Kama unaweza ku kubadilisha "translate" kutoka kizungu
kwenda kiswahili ni vizuri zaidi kama nimuandishi wahabari ni vyema mno...
Haya wadau wale wanaohitaji kuwa wanataaluma
UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
VACANCIES
The University of Dar es salaam invites applications from suitably qualified Tanzanians to be considered for...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.