Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!
Natafuta kazi ya IT, Nina ujuzi wa IT kwenya Computer troubleshooting Internet Programing Website na nina experience ya mwaka mmoja.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
bonyeza hapa Profitmoo.com Earn 1$ for every link visit
2 Reactions
0 Replies
7K Views
Naibu waziri wa elimu aliwahi kutamka kwamba hakuna mwalimu mpya yeyote katika ajira hizi ambazo post zake zimetoka juzi atakayepangiwa jiji la D'salaam. "Tumelazimika kupeleka walimu 24 tu...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Must have 2-3 years working experience in the same field Mode of application send cv to vipajilink at African Bulding center opposite AAR Hosp 2nd flow Regent estate (moroco)
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari zenu wana JF mimi ni kijana niliepoteza muelekeo ktk maisha yangu nikiwa na huzuni na dimbi la mawazo kwa kua maisha yamekua magumu zaidi ya sana kiupande wangu km ni mtihani basi...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
wapendwa watanzania wenzangu, naombeni connection ya kazi,nilikuwa nafanya kazi ya mkataba na wazungu lakini mkataba umeisha na mda wa wao kuishi hapa tanzania umeisha hivyo sina kazi...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Uzoefu usiopungua miaka 2 maombi yalepelekwe vipajilink jengo la (african building) limetazamana na hospitali ya aar -moroco
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu mimi ni kijana wa kitanzania ninatafuta kazi ya uandishi wa habari kwani nimesomea na pia nina kipaji cha utangazaji, ukiachia fani hiyo pia nina uwezo wa kuwa karani...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Leo nimepigiwa cm na EFC niende jumatatu kwenye writen interview ya credit officer, naombeni msaada kwa yeyote anayejua modality ya interview za EFC.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nina shahada ya ADULT AND COMMUNITY EDUCATION chuo kikuu cha Dar es salaam wanaohitaji wafanyakazi, contact: Email Luccy_8@hotmail.com
0 Reactions
11 Replies
8K Views
Kwanza nianze kwa ku-Declare my interest. Mimi nimemaliza Mwenge University College of Education 2012, Bed (sc). Nimebahatika kupata hizi ajira mpya za serikali. Rejea hicho kichwa cha habari...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ndugu zangu nimemaliza chuo mwaka jana na nimeomba kazi sehemu nyingi sema ninarushwa kalenda ukitazamia mi ndo nguzo ya familia yangu wananiangalia wadogo pia hata waweze...
0 Reactions
0 Replies
937 Views
Namtafuta mwl Epifani nicolas amesoma chuo cha ualimu mhonda, kwa yeyote anayemfahamu au yeye mwenyewe anicheki hapa 0762 87 51 37
0 Reactions
0 Replies
968 Views
Naombeni msaada wana jf kuangaliziwa ajira mpya za walimu jina Godfrey mbelle ngazi ya cheti ualimu wa msingi kapangwa wapi. Kimeo changu hakifungui pdf file. Nitashukuru saana wadau.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
AFRICAN BARRICK GOLD -GENERAL MANAGER-(1POST), Camfed -Monitering and Evaluation Manager.MS-TCDC-COOKS AND DRIVER Vacant positions.:crazy::happy: SOURCE; Mwananchi Ijumaa,Februari 15,2013
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Sifa za mwombaji daraja la pili au la kwanza kutoka chuo kinacho tambulika na serikali uzoefu usiopungua miaka 2
0 Reactions
4 Replies
2K Views
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU AJIRA YA WALIMU WAPYA TAARIFA KWA UMMA KUHUSU AJIRA YA WALIMU WAPYA WA SHULE ZA MSINGI, SEKONDARI NA VYUO VYA UALIMU TANZANIA BARA MWAKA 2012/13 Jumla ya walimu 26,537...
2 Reactions
5 Replies
11K Views
wadau kuna nafasi za tearching kwenye hiki chuo cha upendo ila email waliotoa ukituma zinafail,kama kuna mtu anejua location yao atujuze
0 Reactions
6 Replies
3K Views
leo wametoa majina ya walioitwa knye interview post za operation (wako 1400...) na drivers knye daily news ya leo nawatakia kila la kheri na maandalizi mema
1 Reactions
25 Replies
15K Views
Tuna hitaji kuajiri wakili kwenye law firm dar, awe ni fresh graduate, mwanaume, umri usizidi miaka 30. Mwenye sifa hizo anaweza kuni pm. Nawasilisha tafadhali.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom