Habari wapenda
mimi ni msichana nmemaliza chuo mwaka 2011 nna degreee ya PUBLIC RELATIONS AND MARKETING
nmetafuta sana kazi bila mafanikio, kwa yeyote anaeweza kunisaidia ntashukuru sana..
ila...
TANGAZO LA KAZI CHUO KIKUU KIPYA CHA KIMATAIFA CHA TANZANIA (TANZANIA INTERNATIONAL UNIVERSITY) VACANCIES 1. SENIOR LECTURES (16) Professor, Associate Professor or PhD holders. 2...
jaman huku shinyanga nimekuta kuna NGO inaitwa light dream org(lido) imetangaza ajira 260 wasim
amiz wa wilaya,kata,wa mitaa tu wanaitajika 200.fomu wanasema ni bure lkn ukifika fomu imeandikwa...
East Africa Job Board::Free jobs for all in Kenya,Tanzania,Uganda,Rwanda and South Sudan: Monitoring and Evaluation Coordinator International Rescue Committee Tanzania
East Africa Job Board::Free...
Msichana anayeweza kazi ya marketing anaitajika,mshahara ni kwa Commission
.Atawezeshwa Searching Allowance(food,vocha,transport pamoja na pesa ya wkend)
Tuma CV. kwenye email;uturnltd@gmail.com
Ndugu wana JF
Naomba kwa yeyote mwenye uhitaji au mwenye kuweza kuniunganisha na shule yeyote kwa nafasi ya kufundisha masomo tajwa hapo juu,niko tayari kufanya kazi popote katika dunia hii...
VACANCY ANNOUNCEMENTS
Good noon,
We are happy to inform you that we invite applications from suitable candidates for the listed vacancies below. Take note that these vacancies are not for...
Dear members,
I am a lady, 31 years old, I am holding diploma in secretary, and I have 10years experience in this field.
I am looking for job as secretary, my numbers are 0715/0762 238 308...
Vicky Mtetema acha kufanya ofisi ya Under The Same Sun Mali yako......
Peter Ash amekuweka hapo kwa kukuamini na sio porojo..Hiyo tabia ya kuita watu kwenye interview na kuchukua ndugu zako...
Kuna watu wapo pale maeneo ya Tank bovu kama unaenda Tegeta.Hawa jamaa wanataka kuwapiga pesa sana watu.kwani wameandaa hostel kwa ajili ya watafuta kazi,kila siku unalipia 1000 kwa wiki tatu,then...
Wadau nimepata taarifa hivi punde lakini nimeshindwa kuzithibitisha juu ya ajira mpya aa walimu. Nimepitia mtandao wa Wizara ya Elimu wenyewe unasema "This website is suspended...." Naomba mwenye...
habar?mim ni msichana 22y elimu yangu 4m4. nina certificate ya secretarial studies chuo cha tpsc tabora,natafuta kaz nipo tayar kufanya kazi mkoa wowote kama p/s or receptionist.tusaidiane jaman.
jamani hawa jamaa wa uhamiaji walibandika tangazo la kazi ofisini kwao,sasa nauliza hivi majina ya watakaoitwa usaili yatabandikwa ofisini kwao ,watatoa magazetini au watapigiwa simu?
A54 investment ni kampuni mpya iliyopo mkoani Singida wilaya ya Iramba inayojishughurisha na masuala ya urembo inatangaza nafasi za kazi za wafanyakazi wa saloon ya kiume:
1. VINYOZI...
Wakuu serikali imetangaza ajira mpya kwa walimu katika mikoa mbalimbali!
Location sio tatizo,Nauli sio tatizo, ila je Mfanyakaz atafika kwenye kituo cha kazi na kukuta japo chumba cha kulala?!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.